Clouds wamesanda kwa WCB waanza kupiga nyimbo zao

Clouds wamesanda kwa WCB waanza kupiga nyimbo zao

baraka bb

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2016
Posts
2,691
Reaction score
3,884
Leo nilikuwa naangalia Clouds TV, nikaona wanapiga nyimbo ya Hamonize nikajua labda kwa sababu kjitoa wasafi nikaona tena wanapiga goma la Mondi bin Laden lile 'Kanyaga' nikasema dooooh jamaa wamesanda.

20191008_113941.jpeg
 
Marehemu Ruge labda ndio alikataza..CMG wafanya biashara kuna tatizo gani wakati WCB ni Watanganyika
 
Wabongo mnaishi kwa kukariri na ushabiki maandazi sana

Watu wengi hamuelewi kuwa Clouds ipo kibiasha kibiashara na WCB wapo kibiashara

Wafanyabiashara wamefikia makubaliano kwa faida ya pande mbili au ulidhani watatofautiana milele?
 
Back
Top Bottom