Clouds tv/redioClouds ndyo nini?
Binafsi but kama kitu kinaudhi kuna general measuresUnasema wanaboa afu unataka mtu amwage details..
Imetokea nipo kwa safar hotelin af chanel zote za nje....moja tu hii ndo ya ndan...Mkuu kwanini unatazama tv ya kipuuz puuz kama hiyo
Mi cyo muhuni !! Povu n nini?Mkuu mbn kma povu..!!!
Sababu n hizi hiz au unasababu zakoHyo radio siskilzagi toka zamani.
Aaaaaaah mkuu, be serious basi..!!! Ina maana povu hulijui?? Hujawah kufua??Mi cyo muhuni !! Povu n nini?
Nikiswahili au n lugha gan
Kama wewe sio muhuni, SHOBO NI NINI..?? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mi cyo muhuni !! Povu n nini?
Nikiswahili au n lugha gan
Ha ha ha ha mkuu unaonekana kama wa uswahilini vile.......ukiweka hiyo maana sentensi yote inakua haina maanaAaaaaaah mkuu, be serious basi..!!! Ina maana povu hulijui?? Hujawah kufua??