Clouds wana shobo na Alikiba hadi wanaboa

Clouds wana shobo na Alikiba hadi wanaboa

Wanataka kumshushaaaa Mondi ili apoteee kweny raman ila mondi ndo kiboko yaooo....Simba n fireeeeee
 
Nahisi kuna kitu maana hata arusi ilishadidiwa kupitiliza.
Nilimpenda mchambuzi aliyesema wanaomwambia Ali Kiba kuwa analingana/kumzidi Diamond walikuwa hawamwambii kweli!
 
Siyo kuwa clouds wana shobo Mkuu...usichoelewa kuwa clouds ni kampuni na inajiendiesha kwa kutegemea faida hivyo menejiment team ya kiba imegharamia mchongo mzima Wa kutangaza ujio Wa ngoma yake mpya sambamba na brand yake ya energy drink ya mofaya..

Hivyo hapo ishu ni kuwa clouds wamevuta mkwanja mrefu kutoka Rockstar ambayo ndiyo lebo ya kiba kwa sasa...
 
Kipindi diamond hajakosana nao walikua wanambeba kama hivyo, utakuja wakati hata Alikiba hatosikika kutakua na mwingine.
 
Back
Top Bottom