Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Hahahahahaha. Nipo kawaida tu mkuu. Ila umesema wewe HUNA TIMU, wkt ukiisoma thread yako ipo uchikabisa kma wewe ni timu pinzani na mshkaji.Ha ha ha ha mkuu unaonekana kama wa uswahilini vile.......ukiweka hiyo maana sentensi yote inakua haina maana
Hahahaha iyo avatar yako ni maarufu hapa ushirombo na mida hii nimelala hapo. Nicheki kesho wadutya uje upate moja moto moja baridi mkuuWakishadadiaga kitu hadi wanakuwaha kero
Wanataka kumshushaaaa Mondi ili apoteee kweny raman ila mondi ndo kiboko yaooo....Simba n fireeeeee
Imagine kila nusu saa wanapiga nyimbo au tukio la alikiba as if hamna kitu kingine cha kuonesha au msanii mwingine vile!!... Ni kweli anafanya vizur lakin hata mpinzani wake pia anafanya vizur tena sana !!/.... Na kuna wasanii wengine pia sitaki kuamini nao wamekua kama page za utimu za instagram!!..
Mass media kubwa ivo kua ivo n ufinyu wa namna ya kuendesha media
Ama n nn!!
Tunaelewa n timu kiba yes
Nafikir wanadhan wanamkomoa diamond au wanatumia media kumpoteza diamond !!...
Kwan huwezi kumpandisha alikiba juu bila kuhangaika kumshusha dmond !!...
Waafrica bana!!
Au kuna kitu tusichokijua hapa!!
Mwenye detail amwage unga!!...
Sina timu im free thinker
Nasaport yyte anayepambana na kufanya vizur
True African
Walizinguana na jay dee, ruby na saaiz na dmond!!...nafikir wanashida hawaKipindi diamond hajakosana nao walikua wanambeba kama hivyo, utakuja wakati hata Alikiba hatosikika kutakua na mwingine.
Ivi bi dada umeelewa maanam changu n mziki nikishausikia nikafrah basi. Siju Aliyeimb sijui nani huko hayanihusu
Umeona mbali mkuumda wote wanakunywa energy sijui zimefika ngapi maana energy mwisho mbili [emoji16][emoji16]
Wanaoboa lakini anawasikiliza muda wote...Unasema wanaboa afu unataka mtu amwage details..
Sidhani jamaa. Tunawajua vizuri cloudsSiyo kuwa clouds wana shobo Mkuu...usichoelewa kuwa clouds ni kampuni na inajiendiesha kwa kutegemea faida hivyo menejiment team ya kiba imegharamia mchongo mzima Wa kutangaza ujio Wa ngoma yake mpya sambamba na brand yake ya energy drink ya mofaya..
Hivyo hapo ishu ni kuwa clouds wamevuta mkwanja mrefu kutoka Rockstar ambayo ndiyo lebo ya kiba kwa sasa...
Umasikini wa mawazo unakutesa.Imagine kila nusu saa wanapiga nyimbo au tukio la alikiba as if hamna kitu kingine cha kuonesha au msanii mwingine vile!!...Ni kweli anafanya vizur lakin hata mpinzani wake pia anafanya vizur tena sana!!/.... Na kuna wasanii wengine pia sitaki kuamini nao wamekua kama page za utimu za instagram!!..
Mass media kubwa ivo kua ivo n ufinyu wa namna ya kuendesha media
Ama n nn!!
Tunaelewa n timu kiba yes
Nafikir wanadhan wanamkomoa diamond au wanatumia media kumpoteza diamond!!...
Kwan huwezi kumpandisha alikiba juu bila kuhangaika kumshusha dmond!!...
Waafrica bana!!
Au kuna kitu tusichokijua hapa!!
Mwenye detail amwage unga!!...
Sina timu im free thinker
Nasaport yyte anayepambana na kufanya vizur
True African
Unaposema mbeleko ya chuma una maanisha nini?Ya diamond yametoka wapi? mm naongelea kwa wasanii wote hapa kuna kua kama kuna matabaka ivi km kuoa mbna hata stamina kaoa ila hajaalikwa
Unaposema mbeleko ya chuma una maanisha nini?Ya diamond yametoka wapi? mm naongelea kwa wasanii wote hapa kuna kua kama kuna matabaka ivi km kuoa mbna hata stamina kaoa ila hajaalikwa
Unaposema mbeleko ya chuma una maanisha nini?Ya diamond yametoka wapi? mm naongelea kwa wasanii wote hapa kuna kua kama kuna matabaka ivi km kuoa mbna hata stamina kaoa ila hajaalikwa
Ulitaka afanye rap!?Ila kiba kazingua ilo sebene lake