Clouds wana shobo na Alikiba hadi wanaboa

Clouds wana shobo na Alikiba hadi wanaboa

Ha ha ha ha mkuu unaonekana kama wa uswahilini vile.......ukiweka hiyo maana sentensi yote inakua haina maana
Hahahahahaha. Nipo kawaida tu mkuu. Ila umesema wewe HUNA TIMU, wkt ukiisoma thread yako ipo uchikabisa kma wewe ni timu pinzani na mshkaji.
 
Imagine kila nusu saa wanapiga nyimbo au tukio la alikiba as if hamna kitu kingine cha kuonesha au msanii mwingine vile!!... Ni kweli anafanya vizur lakin hata mpinzani wake pia anafanya vizur tena sana !!/.... Na kuna wasanii wengine pia sitaki kuamini nao wamekua kama page za utimu za instagram!!..
Mass media kubwa ivo kua ivo n ufinyu wa namna ya kuendesha media
Ama n nn!!
Tunaelewa n timu kiba yes
Nafikir wanadhan wanamkomoa diamond au wanatumia media kumpoteza diamond !!...
Kwan huwezi kumpandisha alikiba juu bila kuhangaika kumshusha dmond !!...
Waafrica bana!!

Au kuna kitu tusichokijua hapa!!
Mwenye detail amwage unga!!...
Sina timu im free thinker
Nasaport yyte anayepambana na kufanya vizur
True African

Kwenye post yako unasema huna utimu lakini contents zinaonyesha unaumia sana nyimbo za alikiba wakiziplay, kwani kupiga nyimbo za alikiba ni kumshusha diamond?

Je wangepiga nyimbo za diamond kila nusu saa ina maana ni kumshusha kiba?

Kwani Tz kuna wasanii wangapi mpk nyimbo za alikiba zimshushe diamond pekee je hao wasanii wengine hawaathiriki?

Kitu gani hasa kime indicate kwamba wanamshusha Diamond na kumpandisha alikiba? Ni kupiga nyimbo za alikiba kila nusu saa? Ingekuaje kama wangepiga nyimbo za aslay au Janjaro kila nusu saa ingemshusha nani hapo?

NB: sikusikiliza clouds maswali haya yametokana na post yako
 
Kipindi diamond hajakosana nao walikua wanambeba kama hivyo, utakuja wakati hata Alikiba hatosikika kutakua na mwingine.
Walizinguana na jay dee, ruby na saaiz na dmond!!...nafikir wanashida hawa
 
Kwani ulilazimishwa usikilize nenda wasafi tv au domo ajakuambia kuwa sasa anamiliki ktv chake
 
Ukitaka nawe ufanikiwe basi mpende aliyekuzidi!
Kumchukia aliyekuzidi ni kujididimiza mwenyewe
 
Siyo kuwa clouds wana shobo Mkuu...usichoelewa kuwa clouds ni kampuni na inajiendiesha kwa kutegemea faida hivyo menejiment team ya kiba imegharamia mchongo mzima Wa kutangaza ujio Wa ngoma yake mpya sambamba na brand yake ya energy drink ya mofaya..

Hivyo hapo ishu ni kuwa clouds wamevuta mkwanja mrefu kutoka Rockstar ambayo ndiyo lebo ya kiba kwa sasa...
Sidhani jamaa. Tunawajua vizuri clouds
 
Imagine kila nusu saa wanapiga nyimbo au tukio la alikiba as if hamna kitu kingine cha kuonesha au msanii mwingine vile!!...Ni kweli anafanya vizur lakin hata mpinzani wake pia anafanya vizur tena sana!!/.... Na kuna wasanii wengine pia sitaki kuamini nao wamekua kama page za utimu za instagram!!..
Mass media kubwa ivo kua ivo n ufinyu wa namna ya kuendesha media
Ama n nn!!
Tunaelewa n timu kiba yes
Nafikir wanadhan wanamkomoa diamond au wanatumia media kumpoteza diamond!!...
Kwan huwezi kumpandisha alikiba juu bila kuhangaika kumshusha dmond!!...
Waafrica bana!!

Au kuna kitu tusichokijua hapa!!
Mwenye detail amwage unga!!...
Sina timu im free thinker
Nasaport yyte anayepambana na kufanya vizur
True African
Umasikini wa mawazo unakutesa.

Ukiona tangazo la blue band itv linarudiwa mara kwa mara inamaana itv wanashobo na blueband??

Jua tu kuwa huyo Kiba ni busness na business anayofanya inahitaji promo ya maana kama hiyo.
 
Hatred is new form of slavery khaaa kumbe kanye hakukoseaa aliposema kuwa waafrika tulipenda wenyewe kuwa watumwa khaaa sasa ww huwapendi clouds why unawafatiliaa si utumwa huo??humpendi kiba why cant you turn off your kimeo?? Mnachosha walimwengu fungueni zenu mzipangieee cha kfanya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ya diamond yametoka wapi? mm naongelea kwa wasanii wote hapa kuna kua kama kuna matabaka ivi km kuoa mbna hata stamina kaoa ila hajaalikwa
Unaposema mbeleko ya chuma una maanisha nini?
 
Ya diamond yametoka wapi? mm naongelea kwa wasanii wote hapa kuna kua kama kuna matabaka ivi km kuoa mbna hata stamina kaoa ila hajaalikwa
Unaposema mbeleko ya chuma una maanisha nini?
 
Ya diamond yametoka wapi? mm naongelea kwa wasanii wote hapa kuna kua kama kuna matabaka ivi km kuoa mbna hata stamina kaoa ila hajaalikwa
Unaposema mbeleko ya chuma una maanisha nini?
 
Back
Top Bottom