Nashangaa watu wanalialia na CMG! Kwani Wasafi Media imekufa!? Huyo Simba si atumie hiyo, ?Wanataka kumshushaaaa Mondi ili apoteee kweny raman ila mondi ndo kiboko yaooo....Simba n fireeeeee
nikki mbishi hana meneja hata msipopiga mawingu ngoma yake..tutaisikiliza magetoni na wana.Matabaka kwenye biashara ni muhimu sana, kwasababu kama wewe meneja wako anagongea fegi kwa presenter kuna mwenye meneja ambaye anawekeza kwenye media nzima kwa cash mezani yaani kwa kifupi meneja anayenunua air time siku nzima kupush brandy yake lazima awe tabaka tofauti kabisa na meneja wa niki mbishi ambaye anadiss mameneja na watangazaji.
Io ni Biashara Kama Biashara zingineImagine kila nusu saa wanapiga nyimbo au tukio la alikiba as if hamna kitu kingine cha kuonesha au msanii mwingine vile!!...Ni kweli anafanya vizur lakin hata mpinzani wake pia anafanya vizur tena sana!!/.... Na kuna wasanii wengine pia sitaki kuamini nao wamekua kama page za utimu za instagram!!..
Mass media kubwa ivo kua ivo n ufinyu wa namna ya kuendesha media
Ama n nn!!
Tunaelewa n timu kiba yes
Nafikir wanadhan wanamkomoa diamond au wanatumia media kumpoteza diamond!!...
Kwan huwezi kumpandisha alikiba juu bila kuhangaika kumshusha dmond!!...
Waafrica bana!!
Au kuna kitu tusichokijua hapa!!
Mwenye detail amwage unga!!...
Sina timu im free thinker
Nasaport yyte anayepambana na kufanya vizur
True African
promoUnaposema mbeleko ya chuma una maanisha nini?
bussness interview robotatu wanaulizana ndoa ? kuna mtu asiyejua ndoa?Io ni Biashara Kama Biashara zingine
Ndani kuna alikiba na mofanya sooo is business young boi
ulichoandika chenyewe ukijui cheki spelling kanye hakuongea uo utumbo uliouandikaHatred is new form of slavery khaaa kumbe kanye hakukoseaa aliposema kuwa waafrika tulipenda wenyewe kuwa watumwa khaaa sasa ww huwapendi clouds why unawafatiliaa si utumwa huo??humpendi kiba why cant you turn off your kimeo?? Mnachosha walimwengu fungueni zenu mzipangieee cha kfanya[emoji23][emoji23][emoji23]
Upo sahihi mkuu..Waacheni kwani ni chombo binafsi,kwa hiyo wao wanamaamuzi yao kutokana na maslahi yao.Ila siku zote nyimbo mbaya utaijua hata ipewe promo vipi,itaishi kwa muda mfupi na nyimbo nzuri hata isipopewa promo itaendelea kuishi,kwa hiyo muda ,views ,mauzo online na rotation ya mitaani ndio vitasema nyimbo ni mbaya au ni nzuri.
MkuuuIla kiba kazingua ilo sebene lake
we jamaa hayo maneno uliyomalizia hapo chini bora tuu ufute maaana sii kweli kabisa huwez kuwa neutral then unamaind kisa media inafanya kazi yakeImagine kila nusu saa wanapiga nyimbo au tukio la alikiba as if hamna kitu kingine cha kuonesha au msanii mwingine vile!!...Ni kweli anafanya vizur lakin hata mpinzani wake pia anafanya vizur tena sana!!/.... Na kuna wasanii wengine pia sitaki kuamini nao wamekua kama page za utimu za instagram!!..
Mass media kubwa ivo kua ivo n ufinyu wa namna ya kuendesha media
Ama n nn!!
Tunaelewa n timu kiba yes
Nafikir wanadhan wanamkomoa diamond au wanatumia media kumpoteza diamond!!...
Kwan huwezi kumpandisha alikiba juu bila kuhangaika kumshusha dmond!!...
Waafrica bana!!
Au kuna kitu tusichokijua hapa!!
Mwenye detail amwage unga!!...
Sina timu im free thinker
Nasaport yyte anayepambana na kufanya vizur
True African
Its 30 hrs, nyimbo ndo kwanza ina viewers 700k..Nilichogundua nikwamba hakuna alikiba bila diamond,ila kuna diamond bila alikiba.
Inaonekana industry ya mziki hujui vizuri...hata sound city ya Nigeria kuna muda inakuwa na wizkid day, davido day.Ya diamond yametoka wapi? mm naongelea kwa wasanii wote hapa kuna kua kama kuna matabaka ivi km kuoa mbna hata stamina kaoa ila hajaalikwa
Huwezi kujenga hoja mkuu!! Hadi ujib kama mtu asiye na weredi....cpo katka timu aiseeKwani ulilazimishwa usikilize nenda wasafi tv au domo ajakuambia kuwa sasa anamiliki ktv chake