Clouds wana shobo na Alikiba hadi wanaboa

Clouds wana shobo na Alikiba hadi wanaboa

Wanataka kumshushaaaa Mondi ili apoteee kweny raman ila mondi ndo kiboko yaooo....Simba n fireeeeee
Nashangaa watu wanalialia na CMG! Kwani Wasafi Media imekufa!? Huyo Simba si atumie hiyo, ?
 
Matabaka kwenye biashara ni muhimu sana, kwasababu kama wewe meneja wako anagongea fegi kwa presenter kuna mwenye meneja ambaye anawekeza kwenye media nzima kwa cash mezani yaani kwa kifupi meneja anayenunua air time siku nzima kupush brandy yake lazima awe tabaka tofauti kabisa na meneja wa niki mbishi ambaye anadiss mameneja na watangazaji.
nikki mbishi hana meneja hata msipopiga mawingu ngoma yake..tutaisikiliza magetoni na wana.
 
Kweli kabisa clouds mnaboa sana na huyo ALIKIBA mpaka nikatakni niwablock Instagram. Hamna story nyingine?
 
Kwamba mnadhani wanafanya hivyo free tu kwasababu wanampenda au ili wamshushe Mondi,.. Hahaha!!!!
I need a dumbrella, It is too dumb in here,..
 
Imagine kila nusu saa wanapiga nyimbo au tukio la alikiba as if hamna kitu kingine cha kuonesha au msanii mwingine vile!!...Ni kweli anafanya vizur lakin hata mpinzani wake pia anafanya vizur tena sana!!/.... Na kuna wasanii wengine pia sitaki kuamini nao wamekua kama page za utimu za instagram!!..
Mass media kubwa ivo kua ivo n ufinyu wa namna ya kuendesha media
Ama n nn!!
Tunaelewa n timu kiba yes
Nafikir wanadhan wanamkomoa diamond au wanatumia media kumpoteza diamond!!...
Kwan huwezi kumpandisha alikiba juu bila kuhangaika kumshusha dmond!!...
Waafrica bana!!

Au kuna kitu tusichokijua hapa!!
Mwenye detail amwage unga!!...
Sina timu im free thinker
Nasaport yyte anayepambana na kufanya vizur
True African
Io ni Biashara Kama Biashara zingine
Ndani kuna alikiba na mofanya sooo is business young boi
 
Mbona mna negativity sana, biashara ya ushindani hii kila mmoja anataka awin market. LENGO SI KUMSHUSHA MOND BALI NI KUMPA STIFF COMPETITION KITU AMBACHO HATA YEYE ANANUFAIKA NACHO KUMFANYA ATIE JUHUDI ZAIDI,UBONGO HAULALI.
Ili waweze kubaki at the top lazima kuwe na ushindani, kiba kalipia shoo sio bure
 
bu
Io ni Biashara Kama Biashara zingine
Ndani kuna alikiba na mofanya sooo is business young boi
bussness interview robotatu wanaulizana ndoa ? kuna mtu asiyejua ndoa?
 
uli
Hatred is new form of slavery khaaa kumbe kanye hakukoseaa aliposema kuwa waafrika tulipenda wenyewe kuwa watumwa khaaa sasa ww huwapendi clouds why unawafatiliaa si utumwa huo??humpendi kiba why cant you turn off your kimeo?? Mnachosha walimwengu fungueni zenu mzipangieee cha kfanya[emoji23][emoji23][emoji23]
ulichoandika chenyewe ukijui cheki spelling kanye hakuongea uo utumbo uliouandika
 
Waacheni kwani ni chombo binafsi,kwa hiyo wao wanamaamuzi yao kutokana na maslahi yao.Ila siku zote nyimbo mbaya utaijua hata ipewe promo vipi,itaishi kwa muda mfupi na nyimbo nzuri hata isipopewa promo itaendelea kuishi,kwa hiyo muda ,views ,mauzo online na rotation ya mitaani ndio vitasema nyimbo ni mbaya au ni nzuri.
Upo sahihi mkuu..
 
Imagine kila nusu saa wanapiga nyimbo au tukio la alikiba as if hamna kitu kingine cha kuonesha au msanii mwingine vile!!...Ni kweli anafanya vizur lakin hata mpinzani wake pia anafanya vizur tena sana!!/.... Na kuna wasanii wengine pia sitaki kuamini nao wamekua kama page za utimu za instagram!!..
Mass media kubwa ivo kua ivo n ufinyu wa namna ya kuendesha media
Ama n nn!!
Tunaelewa n timu kiba yes
Nafikir wanadhan wanamkomoa diamond au wanatumia media kumpoteza diamond!!...
Kwan huwezi kumpandisha alikiba juu bila kuhangaika kumshusha dmond!!...
Waafrica bana!!

Au kuna kitu tusichokijua hapa!!
Mwenye detail amwage unga!!...
Sina timu im free thinker
Nasaport yyte anayepambana na kufanya vizur
True African
we jamaa hayo maneno uliyomalizia hapo chini bora tuu ufute maaana sii kweli kabisa huwez kuwa neutral then unamaind kisa media inafanya kazi yake
kesho wakimweka msanii mwingine utamaindi tena au utakaa kimya na kesho kutwa wakamweka msanii mwingine utamaind au utakaa kimya NAOMBA MAJIBU

then mbona inpotokea kitu kama kifo mtu maarufu kafa media inamweka on air siku nzima na nyimbo zake siku nzima and you dont talk i beleve kitu kama hii utaona ni vizuri kumpa heshima marehem
kwa nn waona shida kuapreciate kitu cha mtu akiwa hai afu unaanza kusifia wakati hayupo hi naita unafkii NonSense
katika siku 365 za mwaka wametumia japo siku moja unamaindi WTF.....
kama wewe una mambo za team nani sijui nani bora tuu ukae kimya au uje na facts za maana
alafu endelea kukaaa ukisubiri Mond apotezwe utasubiri sana mzee baba sijui kama uliwah sikia simba amepotea porini
ila mimi sijawah sikia

KIUFUPI HAWA JAMAAA WANAFANYA VIZURI TZ NA NJE YA TZ
AM NOT SURE KAMA CLOUDS HATA INASIKIKA NCHI NZIMA ILA KWA HAPO WQANAPOSIKIKA WANAPATENDEA HAKI

GOOD JOB CLOUDS MEDIA MNASAIDIA KUPAZA MZIKI WETU KEEP IT UP NA MWONDOE UBAGUZI KAMA MNAO
 
Unafikiri ni Bure???weka pochi Nene mezani..alafu(nanong'ona )hivi lile lihereni alilovaa Diamond si mapigo ya marehemu Prince Chokozzz eehh
 
Ya diamond yametoka wapi? mm naongelea kwa wasanii wote hapa kuna kua kama kuna matabaka ivi km kuoa mbna hata stamina kaoa ila hajaalikwa
Inaonekana industry ya mziki hujui vizuri...hata sound city ya Nigeria kuna muda inakuwa na wizkid day, davido day.
 
Kwani ulilazimishwa usikilize nenda wasafi tv au domo ajakuambia kuwa sasa anamiliki ktv chake
Huwezi kujenga hoja mkuu!! Hadi ujib kama mtu asiye na weredi....cpo katka timu aisee
 
Back
Top Bottom