clouds wanatumika kuichafua simba

Suala mshinde...
Hayo maneno yapo siku zote.
Haiongelewi simba tu... bali pia yanga na mara chache azam.
Ukiongelea timu hizi utavuta usikivu wa watu wengi.
Tuchukue ushauri wao unaojenga,, unaobomoa tuachane nao.
 
Nakubaliana na mleta mada. Mara kadhaa Shafii ameshindwa kuficha ushabiki wake kwa Yanga. Amekua akitetea hata maamuzi ya hovyo kabisa ilimradi tu yanaibeba Yanga. Ameshindwa kuwa huru na mara kadhaa chuki yake kwa Simba ipo waziwazi.
Nilikua mpenzi wa kipindi Chao cha sports extra na sport bar (clouds tv) lakini siangalii tena sababu ya huo upuuzi wao.
 
Wamatopeni ni shida, mkiambiwa ukweli kuwa hamshindi adi mnunue mechi au refa mnachukia, mechi zote ambazo hamkununua ziliishia droo au kufungwaa..,eeheeee ndo ukweli mchungu huoooo
 
kuna watu wameanza kupenda timu kabla ya mpira. mkiambiwa ukweli mnaona kama watu hawapendi timu zenu
 
Mi nlishasemaga shafii dauda sio mchambuzi yule ni muhuni tu mchumia tumbo, ukitaka uchambuzi wa mpira ulio kamilika msikilize Jeff Lea au Eddo Kumwembe
 
Sasa kina shaffii nao wanajua mpira? Mimi hilo li mawingu Fm nimeliacha hukohuko angani.wananunua mechi tunawajua sana tu.Wale pale ni wapiga majungu tu mpira angalia uchambuzi kwa Eddo na yule refa mstaafu.Hawa wanajua kazi yao.Mtangazaji hutakiwi kuonyesha mapenzi yako kwa timu yeyote.
 
Binafsi nlisha achana na sport extra ........

Nimebak kumsikiliza Millard ayo tuu clouds
 
Shafii Yanga?
Huyo ni mwanachama wa Simba hadi aligombea ujumbe kama sikosei.
Labda anajaribu kuwa objective
Ni kama Kumwembe. Ni Simba lakini hujitahidi kuwa objective japo kuna wakati huzidiwa na mahaba ya timu yake!
 
Shafii Yanga?
Huyo ni mwanachama wa Simba hadi aligombea ujumbe kama sikosei.
Labda anajaribu kuwa objective
Ni kama Kumwembe. Ni Simba lakini nitajitahidi kuwa objective japo wakati huzidiwa!
Kumwembe ni yanga
 
Haya maneno yenu wanazi wa soka la Tanzania huwa siyaelewi kabisa kumuhusu huyu Shafii Dauda. Mashabiki wa Yanga wanamsakama huyu jamaa wakisema ni mpenzi wa Simba na anatumika kuichafua Yanga na nyinyi mashabiki wa simba mnaleta vice versa .

Huyu kijana kweli ni mwandishi neutral na nitaanza kumfuatilia ili nione umahiri wake kwa sababu simba na Yanga wote hawajui anasimamia upande gani kiasi cha kuhisi tu yupo kule au huku.

Mmenipa hamu zaidi ya kufuatilia vipindi vyake ingawa mimi si mpenzi wa hiyo redio yao ya CCM inayojipendekeza ili kupata ruzuku ya serikali.
 
Shafii ni mshabiki mwezenu huyo
 
Shafii dauda yule jamaa sio mchambuzi ila ni mnazi tu wa simba na yanga
 
Clouds ni radio ya fursa popote penye fursa wao wanatia miguu hapo hapo inaweza kuwa msiba wao wakauchukulia kivingine,kwenye soka ndio kama hivyo
 
Tatizo LA Simba ni chakula kwa wachezaji wenu .
Professional player mnamlisha chapati MOJA na chai ya rangi kwenye kikombe cha plastiki?
Mkuu
Unaua bila kuwaonea soni.
Pia wana miezi mitatu hakuna mishahara lakini wana hela kuhonga eti Ruvu Shooting waiwezekee ngumu Yanga
Mipango ya Hans Poppe hiyo
 
U
Shafii Yanga?
Huyo ni mwanachama wa Simba hadi aligombea ujumbe kama sikosei.
Labda anajaribu kuwa objective
Ni kama Kumwembe. Ni Simba lakini nitajitahidi kuwa objective japo wakati huzidiwa!
mekosea mkuu aliyetaka kugombea Ni Ibrahim masoud"maestro"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…