Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shafii Yanga?Nakubaliana na mleta mada. Mara kadhaa Shafii ameshindwa kuficha ushabiki wake kwa Yanga. Amekua akitetea hata maamuzi ya hovyo kabisa ilimradi tu yanaibeba Yanga. Ameshindwa kuwa huru na mara kadhaa chuki yake kwa Simba ipo waziwazi.
Nilikua mpenzi wa kipindi Chao cha sports extra na sport bar (clouds tv) lakini siangalii tena sababu ya huo upuuzi wao.
Kumwembe ni yangaShafii Yanga?
Huyo ni mwanachama wa Simba hadi aligombea ujumbe kama sikosei.
Labda anajaribu kuwa objective
Ni kama Kumwembe. Ni Simba lakini nitajitahidi kuwa objective japo wakati huzidiwa!
Ni Yanga?Kumwembe ni yanga
Haya maneno yenu wanazi wa soka la Tanzania huwa siyaelewi kabisa kumuhusu huyu Shafii Dauda. Mashabiki wa Yanga wanamsakama huyu jamaa wakisema ni mpenzi wa Simba na anatumika kuichafua Yanga na nyinyi mashabiki wa simba mnaleta vice versa .Nakubaliana na mleta mada. Mara kadhaa Shafii ameshindwa kuficha ushabiki wake kwa Yanga. Amekua akitetea hata maamuzi ya hovyo kabisa ilimradi tu yanaibeba Yanga. Ameshindwa kuwa huru na mara kadhaa chuki yake kwa Simba ipo waziwazi.
Nilikua mpenzi wa kipindi Chao cha sports extra na sport bar (clouds tv) lakini siangalii tena sababu ya huo upuuzi wao.
Shafii ni mshabiki mwezenu huyoNakubaliana na mleta mada. Mara kadhaa Shafii ameshindwa kuficha ushabiki wake kwa Yanga. Amekua akitetea hata maamuzi ya hovyo kabisa ilimradi tu yanaibeba Yanga. Ameshindwa kuwa huru na mara kadhaa chuki yake kwa Simba ipo waziwazi.
Nilikua mpenzi wa kipindi Chao cha sports extra na sport bar (clouds tv) lakini siangalii tena sababu ya huo upuuzi wao.
Tatizo LA Simba ni chakula kwa wachezaji wenu .Hawa clouds kipindi cha sports wanatumika kuichafua simba na kuidhoofisha eti tunachinja paka.......ndo tushinde. walete udhibitisho!!!! Watu wengine bhnana
MkuuTatizo LA Simba ni chakula kwa wachezaji wenu .
Professional player mnamlisha chapati MOJA na chai ya rangi kwenye kikombe cha plastiki?
Simba wanajihujumu wenyeweMkuu
Unaua bila kuwaonea soni.
Pia wana miezi mitatu hakuna mishahara lakini wana hela kuhonga eti Ruvu Shooting waiwezekee ngumu Yanga
Mipango ya Hans Poppe hiyo
mekosea mkuu aliyetaka kugombea Ni Ibrahim masoud"maestro"Shafii Yanga?
Huyo ni mwanachama wa Simba hadi aligombea ujumbe kama sikosei.
Labda anajaribu kuwa objective
Ni kama Kumwembe. Ni Simba lakini nitajitahidi kuwa objective japo wakati huzidiwa!