princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
"Hodari wa mapenzi ya Kwake Mbosso kutoka WCB Wasafi ndo imekua Burudani yetu ya kwanza ndani ya Jahazi la Clouds FM,Naitwa George Bantu niko na Empraim Kibonde pia Dj Too short utamsikia kwenye Mseto Perfect,Mdogomdogo mpaka saa1",,Ni sauti nzito kama uji ya George bantu iliskika akitambulisha Kipindi cha jahazi mida ya saa10 iliyonifanya nijiulize maswali,Hawa Clouds Si hawachezi ngoma za pale WCB zote pamoja na Collabo zao,iweje wacheze nyimbo ya Mbosso au bifu ndo limeisha?WameichezaHodari tena wanaisifia kabisa kina Kibonde!!!Hii imekaaje wadau?
Uhakika mkuu,,au kuna kitu wamekiweka sawaClouds wamesanda so wameona sio kesi bora mambo yaishe tu!!
itakua"
Mkuu ina maana hii bifu huijui?
Mkuu ina maana hii bifu huijui?
Jana nilisika wimbo wa Rich mavocal ft diamond siukumbuki jina lakini"Hodari wa mapenzi ya Kwake Mbosso kutoka WCB Wasafi ndo imekua Burudani yetu ya kwanza ndani ya Jahazi la Clouds FM,Naitwa George Bantu niko na Empraim Kibonde pia Dj Too short utamsikia kwenye Mseto Perfect,Mdogomdogo mpaka saa1",,Ni sauti nzito kama uji ya George bantu iliskika akitambulisha Kipindi cha jahazi mida ya saa10 iliyonifanya nijiulize maswali,Hawa Clouds Si hawachezi ngoma za pale WCB zote pamoja na Collabo zao,iweje wacheze nyimbo ya Mbosso au bifu ndo limeisha?WameichezaHodari tena wanaisifia kabisa kina Kibonde!!!Hii imekaaje wadau?
Dooh..!!
Aikatox DingideJana nilisika wimbo wa Rich mavocal ft diamond siukumbuki jina lakini
Wapendanao wakigombana chukua jembe ukalime
Hahaha..!!Alaa sawasawa..!!
Very Truediamond na WCB yake ndio ana fans wengi na ana content nyingi za media za entertainment kwa skendo zake...
wafanyakazi clouds wamechekecha akili wakaona ni ujinga kutopiga nyimbo za WCB huko mwenye clouds kusaga.. ana invest na hao hao WCB
hapo bosi wao Kusaga amekuwa sababu
haahaaa, ushabiki mwingine bana, ushabiki maandazi kweli kweliClouds media inachungulia kabuli wanajaribu kurudisha upepo hila ndio too late.
Hata nyimbo za DABILIUSIBII Waliishia kuzi-play kwenye gari zao tuDuuh afadhali...maana soudy na kwisa walikuwa wanakonda sana kukosa ubuyu wa pale usafini