Clouds wapiga wimbo wa Mbosso kutoka wasafi

Clouds wapiga wimbo wa Mbosso kutoka wasafi

Clouds fm wamefanya maamuzi mazuri Sana,maana wasafi fm,wasafi TV,wcb wasafi hawaboi na hawapoi maana ni kisima cha hit's kwa Africa mashariki na Africa kiujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Hodari wa mapenzi ya Kwake Mbosso kutoka WCB Wasafi ndo imekua Burudani yetu ya kwanza ndani ya Jahazi la Clouds FM,Naitwa George Bantu niko na Empraim Kibonde pia Dj Too short utamsikia kwenye Mseto Perfect,Mdogomdogo mpaka saa1",,Ni sauti nzito kama uji ya George bantu iliskika akitambulisha Kipindi cha jahazi mida ya saa10 iliyonifanya nijiulize maswali,Hawa Clouds Si hawachezi ngoma za pale WCB zote pamoja na Collabo zao,iweje wacheze nyimbo ya Mbosso au bifu ndo limeisha?WameichezaHodari tena wanaisifia kabisa kina Kibonde!!!Hii imekaaje wadau?
lete update hakuna nyimbo nyingine iliyochezwa
 
lete update hakuna nyimbo nyingine iliyochezwa
Bado mkuu,but nafuatilia ucwaze,,but leo wakati XXL inaisha nilimsikia Kenedy the remedy akimuuliza Mchomvu kuhusu burudani ya kwanza ya leo jahazini kiutani lakn,Mchomvu akamwambia ni Suprise,but hawakupiga ya WCB,,Time will Disclosure
 
Bado mkuu,but nafuatilia ucwaze,,but leo wakati XXL inaisha nilimsikia Kenedy the remedy akimuuliza Mchomvu kuhusu burudani ya kwanza ya leo jahazini kiutani lakn,Mchomvu akamwambia ni Suprise,but hawakupiga ya WCB,,Time will Disclosure
Mkuu JAHAZI NA XXL kipi ndio huanza na kipi hufuata hata waulizane hilo swali??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haahaaa, ushabiki mwingine bana, ushabiki maandazi kweli kweli
Mashabiki wa wasafi huwa wanahisi wao ndo kiiiiiila kitu kwenye industry wanachoamini clouds kaomba msamaha WCB na hawawazi huenda WCB wameomba wayamalize hahahahahahaaaaa hata mm ndo ningekuwa DIAMOND nisingehitaji fanbase ya aina hiyo NB waliwahi ponda video ya nagharamia wakaponda hadi video vixen wake bt leo ndo SHEMEJI YAO hahahahaaaaaa poor minded kind of fanbase, ever seen.
 
Mkuu utasema sio bifu huku watu wameshazalilishwa vya kutosha kuwa ni mashoga ina mana walikubali kutumika
Tatizo Konki Master alirukia treni kwa mbele bila kujua kilicho nyuma ya pazia. Anyway, vyovyote iwavyo huo ulikuwa ni upepo tu unapita...
 
Back
Top Bottom