BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
uchochezi huu.. Umejuaje kama jamaa ni fid q? Ngoja mods wakuone.Fid q unalia sana tatizo lako.
we sio ndo uloimba huendi mbinguni?Kwema wakuu,
Wengi wamekuwa wakinifata inbox kuniuliza kama malipo yetu ya fiesta tumeshalipwa yote. Kiukweli bado hawajamaliza lakini wametuahidi ikifanyika Fiesta ya Dar watakuwa wamekusanya pesa hivyo watatulipa wote.
Wakitulipa tu nitawapa update wakuu, wasanii tuna shida sana sema ndio hivyo camera tu zina tusitiri.
Utamu wa ngoma ingia ucheze, siri ya mtu aijuae kata. Mungu akusameheSijajua kama ww ni msanii kweli au la, ila kama kweli siku nyingine unatakiwa uongee mbele yao kwamba nataka hela yangu au kama ungeona hawawezi kukulipa ungekataa kupiga show zao.
Hahaha......Huyo jamaa ni katuni saana.we sio ndo uloimba huendi mbinguni?
aaaa bill nyosso au sio?acha uongo mbna wenzako tumelipwa
Unatumia nguvu sana kuwachafua ndugu, usishindane na upepo matokeo yako wazi tuKwema wakuu,
Wengi wamekuwa wakinifata inbox kuniuliza kama malipo yetu ya fiesta tumeshalipwa yote. Kiukweli bado hawajamaliza lakini wametuahidi ikifanyika Fiesta ya Dar watakuwa wamekusanya pesa hivyo watatulipa wote.
Wakitulipa tu nitawapa update wakuu, wasanii tuna shida sana sema ndio hivyo camera tu zina tusitiri.
Watakuwa wamerudishiwa maana kwa ninavyowajua wabongo na wanavyoinanga clouds humu threads na instagram zingeshafika 1,000,000Wale waliolipia kwa tigo pesa na kwenye vituo wamerudishiwa hela zao?
Watakuwa wamerudishiwa maana kwa ninavyowajua wabongo na wanavyoinanga clouds humu threads na instagram zingeshafika 1,000,000
Basi kaa kimya na uoga wako na uache kalalamika, yaani kitu haki yako unaogopa kudai si ujinga au ndio unaogopa utanyimwa promo. Alafu kesho mkishachuja mnaanza kulalamika mliibiwa.Utamu wa ngoma ingia ucheze, siri ya mtu aijuae kata. Mungu akusamehe
Basi kaa kimya na uoga wako na uache kalalamika, yaani kitu haki yako unaogopa kudai si ujinga au ndio unaogopa utanyimwa promo. Alafu kesho mkishachuja mnaanza kulalamika mliibiwa.
Wewe ndio una akili za kitoto hujui thamani ya kipaji chako wala kudai Haki yako . Ila inaonekana wewe mwenyewe unapenda unyonge endelea na unyonge wako.Umezaliwa 1989, ni ngumu sana kuuelewa ulimwengu kwa umri ulio nao. Kwa lugha rahisi, una akili za kitoto.
Unatumia nguvu sana kuwachafua ndugu, usishindane na upepo matokeo yako wazi tu