Clouds watatulipa pesa zetu baada ya fiesta ya Dar

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Kwema wakuu,

Wengi wamekuwa wakinifata inbox kuniuliza kama malipo yetu ya fiesta tumeshalipwa yote. Kiukweli bado hawajamaliza lakini wametuahidi ikifanyika Fiesta ya Dar watakuwa wamekusanya pesa hivyo watatulipa wote.

Wakitulipa tu nitawapa update wakuu, wasanii tuna shida sana sema ndio hivyo camera tu zina tusitiri.
 
we sio ndo uloimba huendi mbinguni?
 
Sijajua kama ww ni msanii kweli au la, ila kama kweli siku nyingine unatakiwa uongee mbele yao kwamba nataka hela yangu au kama ungeona hawawezi kukulipa ungekataa kupiga show zao.
 
Utamu wa ngoma ingia ucheze, siri ya mtu aijuae kata. Mungu akusamehe
 
Mbona mimi nimelipwa mda tu mpk sasa, kila tamasha huwa naperfom na naliopwa vzr tu, chege chigunda.
 
Kwema wakuu,

Wengi wamekuwa wakinifata inbox kuniuliza kama malipo yetu ya fiesta tumeshalipwa yote. Kiukweli bado hawajamaliza lakini wametuahidi ikifanyika Fiesta ya Dar watakuwa wamekusanya pesa hivyo watatulipa wote.

Wakitulipa tu nitawapa update wakuu, wasanii tuna shida sana sema ndio hivyo camera tu zina tusitiri.
Unatumia nguvu sana kuwachafua ndugu, usishindane na upepo matokeo yako wazi tu
 
Wale waliolipia kwa tigo pesa na kwenye vituo wamerudishiwa hela zao?
 
Watakuwa wamerudishiwa maana kwa ninavyowajua wabongo na wanavyoinanga clouds humu threads na instagram zingeshafika 1,000,000
 
Kama wamewarudishia basi wamefanya jambo la maana
Watakuwa wamerudishiwa maana kwa ninavyowajua wabongo na wanavyoinanga clouds humu threads na instagram zingeshafika 1,000,000
 
Utamu wa ngoma ingia ucheze, siri ya mtu aijuae kata. Mungu akusamehe
Basi kaa kimya na uoga wako na uache kalalamika, yaani kitu haki yako unaogopa kudai si ujinga au ndio unaogopa utanyimwa promo. Alafu kesho mkishachuja mnaanza kulalamika mliibiwa.
 
Umezaliwa 1989, ni ngumu sana kuuelewa ulimwengu kwa umri ulio nao. Kwa lugha rahisi, una akili za kitoto.

Wewe ndio una akili za kitoto hujui thamani ya kipaji chako wala kudai Haki yako . Ila inaonekana wewe mwenyewe unapenda unyonge endelea na unyonge wako.
 
Back
Top Bottom