- Thread starter
- #21
NA WEWE UTATUMIKA SANA MWAKA HUU, kwan umesikia kusiliza clouds fm ni dhamb, na hiyo hoja ni yamaana sana kwan kila kukicha chuz ambazo azina sababu zinazid kuibuka , kwanin tusiseme ili wajilekebishe. USIWE NA MAWAZO MAFUP KAMA UREFU WA KAPTULAMtakonda sana,eti alifukuzwa na ndala mbona alikaa mpaka mwisho huko east africa ila akaambiwa asirudie tena,kifupi we uliyeleta mada unaipenda sana hii radio ndo mana unaisikiliza na kujua mengi yao!