OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Pia waanze kumpa Ame muda zaidi wa kuchezaHongera sana simba kwa kumbakisha Mwamba wa Lusaka.
Ila mlipaswa pia kumpa mkataba Lamine Moro alipokuja kwenye majaribio. Mmetuletea wachezaji wazembe kama Joash na wawa.
Simba inapaswa kufanya mabadiliko makubwa SANA kwenye safu ya ulinzi
Ame nakubali mkuu.. jamaa ametulia sanaPia waanze kumpa Ame muda zaidi wa kucheza
Wanachofanya Yanga ni kuifanya Mikia itoboke vizuri .Hii ni habari mbaya sana kwa utopolo walitumia kila mbinu ikiwemo maneno ya Hanspope pamoja na mwanachama wao waandishi wa habari kutaka kumufitinisha na Simba
Kabisa wampe nafasi apate confidenceAme nakubali mkuu.. jamaa ametulia sana
Hakuna mchezaji Tanzania aliyefikia bili 1 hata milioni 300 hakuna, si yanga,simba wala azam, tusidanganyane
KondeboyHakuna mchezaji Tanzania aliyefikia bili 1 hata milioni 300 hakuna, si yanga,simba wala azam, tusidanganyane
Umeona wapi mkataba wake ukionesha kuwa thamani ya usajili wake ni 2bil ? Au ndio maneno ya kusikia tu?Kondeboy
Pia dube anathamani ya 2bil
Umeangalia takwimu Chama ndio kaongoza kupiga pasi76 hakuna hata mchezaji mmoja wa upotolo aliyefikia nusu yakeWanachofanya Yanga ni kuifanya Mikia itoboke vizuri .
Sasa hivi kila timu inajua namna ya kucheza na Mikia ili Chama asifurukute.
Takwimu takwimu. Faida yake ni ipi?Umeangalia takwimu Chama ndio kaongoza kupiga pasi76 hakuna hata mchezaji mmoja wa upotolo aliyefikia nusu yake
Wewe mwenye vijiti matakoni unacheza timu gani?Mamilioni ya mishahara kwa wachezaji waliojaa maji na moshi mapafuni..