redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Si Luis wala Dube ambaye ukimweka sokoni kuna timu itakuja kukupa milioni 400/= Uko walipotoka hawakufikia viwango ndiomaana waliachwa watafute changamoto Mpya ili wainue viwango vyao. Apa kwetu wanacheza vizuri wakikutana na Gwambina, KMC n.k, Timu ambazo hazina bajeti nzuri ya usajili.Kondeboy
Pia dube anathamani ya 2bil