Cloutos Chama asaini Simba Sc miaka miwili,kumnunua ni Bilioni 2

Kondeboy

Pia dube anathamani ya 2bil
Si Luis wala Dube ambaye ukimweka sokoni kuna timu itakuja kukupa milioni 400/= Uko walipotoka hawakufikia viwango ndiomaana waliachwa watafute changamoto Mpya ili wainue viwango vyao. Apa kwetu wanacheza vizuri wakikutana na Gwambina, KMC n.k, Timu ambazo hazina bajeti nzuri ya usajili.
 
Kama utopolo wauze ngada na magodoro hawawezi kufikisha pesa hizo
 
Hii taarifa sioni kama ina ukweli wowote.
 
Luis Miqueson anaweza kufikia dau hilo.
Labda kama una wivu wa mpenzi tu ndo hutaona hili
Wivu wa mapenzi kivipi? Narudia tena ligi ya Tanzania hakuna mchezaji hata wa million 400
 
Mikia mnajidanganya Samatta mchezaji bora wa Afrika wachezaji wa ndani na mfungaji bora wa CAF Champions league aliuzwa Genk kwa €800k alafu Chama hajulikani auzwe kwa 2B
 
Luis Miqueson anaweza kufikia dau hilo.
Labda kama una wivu wa mpenzi tu ndo hutaona hili
Huu utumbo umetoa wapi,haka ka mbilikimo toka misitu ya Congo kalikosa nafasi Kaizer Chiefs kakatolewa kwa mkopo mkaja kukaokota,hakafiki hata mil 100
 
Inawezekana wameongea lakini bado hajamwaga wino.
Manager wake bila shaka anacheza sehemu zote ili dau lipande sana.
Nyuma ya pazia kuna suala la Morrison. Yanga ilipe kisasi?
 
 
Naona wanayanga wanateseka na uzi huu, wao walipigwa changa wakauziwa calinhos wakizani ni mchezaji kumbe kajamaa fulani ka fala tu sahiz naona wanaona wivu kwa simba.
 
Mikia mnajidanganya Samatta mchezaji bora wa Afrika wachezaji wa ndani na mfungaji bora wa CAF Champions league aliuzwa Genk kwa €800k alafu Chama hajulikani auzwe kwa 2B
Hiki umeandika ni takataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…