Cloutus Chama anaondoka Simba

Timu la ovyo linaloongoza ligi
 
Kama nyonzima alikuwa anawekwa bench na chama Simba wakati kwenu ameingia moja kwa moja kikosi Cha kwanza mbona mnahangaika na kina ndemla na mpilipili ambao hawana namba Simba kwa kifupi mnawatamani Ila uwezo hamna
Siyo mbaya kuwahitaji waje kuwa back up ya waliopo ndugu
 
Kama nyonzima alikuwa anawekwa bench na chama Simba wakati kwenu ameingia moja kwa moja kikosi Cha kwanza mbona mnahangaika na kina ndemla na mpilipili ambao hawana namba Simba kwa kifupi mnawatamani Ila uwezo hamna
Si ni uswahili tu ndio uliomtoa haruna Yanga kwenda simba na kutoka simba kwenda yanga!? Haruna Fundi sana asee na ana ofa vitu vingi kuliko chama. Anajitahidi kukaba,anachezesha timu,anatengeneza nafasi na ana uwezo Mkubwa sana Wa kumiliki mpira. Kiufupi jamaa anafanya mpira uonekane kama ni kitu rahisi sana
 
post yako inanikumbusha utangazaji wa Chacha Maginga,anakwambia goo laaaa laah,kumbe mpira upo katikati. Eti Haruna ni zaidi ya Chama. kituko
 
Huwezi kulinganisha haruna na chama ni vitu viwili tofauti ndio maana Simba hawakuangaika naye mkataba wake ulipoisha
 
Bora aondoke, Simba walimtukana sana walipofungwa na Yanga, Simba ni litimu la ovyo lenye mashabiki wavuta bange, hakuna mchezaji wa maana anaeza chezea simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…