Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,732
Timu la ovyo linaloongoza ligibaada ya kufungwa na timu ya 'wananchi' washabiki na wamiliki wa simba ( wale wahindi wale) walimshutumu sana huyu dogo kuwa alicheza chini cha kiwango, alikuwa anachelewa sana kutoa pasi, alikuwa amwagi 'maji' alikuwa anakaa na mpira etc kitu ambacho kilimchukiza sana huyu dogo, kama ame opti kuondoka kweny litim lenu hilo la ovyo ovyo tatizo ni nyie mikia wenyewe