Mbobo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 1,392
- 1,818
Kuna mchambuzi wa kuitwa privadinho anafanya wachaga tuonekane watu wa ovyo
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nimebisha mkuu,nakuunga mkono 100% alichofanya Mo kwa Chama sio kitu kizuri,ila kwa sasa Mo na Chama wameonyesha kusameheana,shida inakuja,je'kwa wale waliomkunjia Mo kwa kitendo chake cha kumdis Chama na wao watakunjua nafsi au bado watabaki na chuki zao kwa Mo?Alichosema Chama hakiwezi futika.
Ila ukweli utabaki kuwa hapo ndo mahali anapofanya kazi hivyo lazima akiri hakuna tatizo na bosi wake iwe kwa kweli au uwongo ilimradi afanikishe malengo yake.
Kufunga kombe mwanaharam apite ndo hili.
Mambo ya ugomvi na mtu A basi ndo nasi tubebe upande mmoja ni kama ujinga wakizamani huo. Ukweli utabaki kuwa bosi alikosea alichokifanya.
Hata Manara alikosea ila haikupaswa kuendeleza hili jambo hasa kwa mtu mkubwa vile na Timu Kubwa kama Simba nchini.
Tatizo MwamediUkweli ni kwamba kwa hii situation inayoendelea msimbaz ama kwa hakika ni matokeo ya mfumo mbovu wa utawala katika soka la nchi yetu hakuna mipaka ya utendaji
Wakubwa wamekuelewaWhat have done here is intimidating the player, Simba leaders advised Chama to come in public and make things clear but inside, things are different
Mark my words
Sio mwamedi wala mudi waiti ni MoMwamedi mpuuzi sana
Manara ndio anafanya Boss wenu awe mswahili?Poor Manara alitaka kumtumia Chama katika Ajenda zake chafu lakini Wapi!! Chama amebainisha kuwa yupo kwenye upande ulio sahihi.
See how people are stupid wanahisi kama utoto aliofanya Galabacholi wao utasahaulika kwa hiyo post ya jamaa.Kwahiyo hapo ndiyo mnaamini Mo atasahaulisha utoto alioufanya kwenye insta live?
Bado haibadili chochote kuwa muhamedi ana mambo ya kitoto.Kwani nimebisha mkuu,nakuunga mkono 100% alichofanya Mo kwa Chama sio kitu kizuri,ila kwa sasa Mo na Chama wameonyesha kusameheana,shida inakuja,je'kwa wale waliomkunjia Mo kwa kitendo chake cha kumdis Chama na wao watakunjua nafsi au bado watabaki na chuki zao kwa Mo?
Kwani nimebisha mkuu,nakuunga mkono 100% alichofanya Mo kwa Chama sio kitu kizuri,ila kwa sasa Mo na Chama wameonyesha kusameheana,shida inakuja,je'kwa wale waliomkunjia Mo kwa kitendo chake cha kumdis Chama na wao watakunjua nafsi au bado watabaki na chuki zao kwa Mo?
Mo sijui ni umri au ana utoto wa mama kudekezwa anapoishi nyumbani kwao,mbona matajiri wengine maarufu wa Bongo atuwaoni wakidemka mitandaoni kama huyu Mo?Hatuna chuki, tunalinda heshima ya taasisi ya simba. Tusipokemea haya itafika mahali kutakuwa na wachezaji wa mo na wachezaji wa simba na baadae kutakuwa na timu mbili ya mo na simba kama ilivyo yanga na pan Africa. Kiungwana mo anatakiwa kuiomba radhi simba yaishe
Manara ndio anafanya Boss wenu awe mswahili?
Tabia za kimaskini hizo.Kwani tokea lini MO akawa sio Mswahili? Kama unajua nini maana ya Mswahili basi MO ni mswahili pure. Upumbavu wa Watanzania ndiyo unawafanya muone kuwa Mswahili maana yake ni Mjinga.