Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Wewe kaa na ubingwa wako, sisi tunaenda kupiga mabilioni super league na kila siku champion league tunakimbizaHalafu Yanga hiyo hiyo ndio mabingwa wa nchi.
Mjitafakari hizo rank zenu halafu ubingwa anachukuwa mwingine.
Wana Yanga wanataka ubingwa na kuwafunga matutusa ya Simba.