Club 5 Bora ukanda wa CECAFA; Yanga haipo

Halafu Yanga hiyo hiyo ndio mabingwa wa nchi.

Mjitafakari hizo rank zenu halafu ubingwa anachukuwa mwingine.

Wana Yanga wanataka ubingwa na kuwafunga matutusa ya Simba.
Wewe kaa na ubingwa wako, sisi tunaenda kupiga mabilioni super league na kila siku champion league tunakimbiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…