je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Hongera Yanga kwa kutinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho, haya mashindano mwaka jana msemaji wenu alisema ni mashindano ya waliofeli, ila sisi bado tunawapongeza kwa kuwafunga Africain kama mnavyowafunga Polisi Tanzania au KMC ugenini.
Nimesema hayo kwa sababu msimu uliyopita Ligi ya Tunisia hii Club Africain, ilimaliza nafasi ya tatu sawa na Azam FC ila kwa alama inafanana sana na Polisi Tanzania au KMC kwa maana ilikuwa na alama 36 tu. Ina maana hata Geita Gold wale mliowafunga kwa bahasha ni zaidi ya Club Africain. Hii club imebaki jina tu, ila siyo uwezo.
Note: Club Africain kuwafunga kipanga goli saba ni sahihi kabisa, maana hata hao kipanga wakijichanganya kwa Polisi Tanzania au KMC wanakufa goli za kutosha.
Mnaenda makundi huko kuna vitimu vya mchongo vinapiga gozi hatari, kwahiyo wala mihogo jiandaeni kisaikolojia msije kuanza kusema "Nabi out!"