Club Africain tofauti yake na KMC, Polisi Tanzania na Kagera ni jezi zao tu ila vyote vilivyobaki ni sawa

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Hongera Yanga kwa kutinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho, haya mashindano mwaka jana msemaji wenu alisema ni mashindano ya waliofeli, ila sisi bado tunawapongeza kwa kuwafunga Africain kama mnavyowafunga Polisi Tanzania au KMC ugenini.

Nimesema hayo kwa sababu msimu uliyopita Ligi ya Tunisia hii Club Africain, ilimaliza nafasi ya tatu sawa na Azam FC ila kwa alama inafanana sana na Polisi Tanzania au KMC kwa maana ilikuwa na alama 36 tu. Ina maana hata Geita Gold wale mliowafunga kwa bahasha ni zaidi ya Club Africain. Hii club imebaki jina tu, ila siyo uwezo.

Note: Club Africain kuwafunga kipanga goli saba ni sahihi kabisa, maana hata hao kipanga wakijichanganya kwa Polisi Tanzania au KMC wanakufa goli za kutosha.

Mnaenda makundi huko kuna vitimu vya mchongo vinapiga gozi hatari, kwahiyo wala mihogo jiandaeni kisaikolojia msije kuanza kusema "Nabi out!"
 
Sawa tumekusikia.

Hamkosagi jipya nyie maana hata tukichezaga kwenye tope bado mnalalamika tunawatimulia vumbi.

Kwa mpira ulochezwa jana hata angekua zamalek, Al alhly au mamelod lazima wangekaaa.
@tony92 sasa ndio naanza kuamini maneno ya manara kwamba pale wenye akili ni watu wawili????jana yenyewe on target hazikuzidi tatu tena za kubabatiza alafu useme hata angekuwa al ahly angekufa. Wake jamaa wangekufa hata tatu na mtibwa sugar tena manungu turian
 
Hongera yanga kwa kutinga hatua ya makundi kombe la shirikisho ,haya mashindano mwaka jana msemaji wenu alisema ni mashindano ya waliofeli ,

Ila sisi bado tunawapongeza kwa kuwafunga africain kama mnavyowafunga polosi tz au kmc ugenini

Nimesema hayo kwa sababu msimu uliopita ligi ya tunisia hii club africain ilimaliza nafasi ya tatu sawa na azam fc ,ila kwa point inafanana sana na polisi tz au kmc kwa maaana ilikuwa na point 36 tu

Inamaana hata geita gold wale mliowafunga kwa bahasha ni zaidi ya club africain.

Hii club imebaki jina tu,ila sio uwezo

Note...club africain kuwafunga kipanga goli saba ni sahihi kabisa mana hata hao kipanga wakijichanganya kwa polisi tanzania au kmc wanakufa goli za kutosha.

Nb ...mnaenda makundi huko kuna vitimu vya mchongo vinapiga gozi hatar ,kwahiyo wala mihogo jiandaeni kisaikolojia msije kuanza kusema nabi out.......
Kama ilivyokuwa kwa wale Ihefu wa angola mliocheza nao na coast union ya malawi maana tofauti ilikuwa ni jezi tu
 
@tony92 sasa ndio naanza kuamini maneno ya manara kwamba pale wenye akili ni watu wawili????jana yenyewe on target hazikuzidi tatu tena za kubabatiza alafu useme hata angekuwa al ahly angekufa. Wake jamaa wangekufa hata tatu na mtibwa sugar tena manungu turian
😆😆😆 We umejua mpira jana?
Unajidhalilisha tu hapa.

Kabla ya mechi Yanga atakula 5 baada ya mechi wale jamaa wachovu.
Kila Yanga inaposhinda lazima mtafute pa kujifichiaa
 
Hongera Yanga kwa kutinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho, haya mashindano mwaka jana msemaji wenu alisema ni mashindano ya waliofeli, ila sisi bado tunawapongeza kwa kuwafunga Africain kama mnavyowafunga Polisi Tanzania au KMC ugenini.

Nimesema hayo kwa sababu msimu uliyopita Ligi ya Tunisia hii Club Africain, ilimaliza nafasi ya tatu sawa na Azam FC ila kwa alama inafanana sana na Polisi Tanzania au KMC kwa maana ilikuwa na alama 36 tu. Ina maana hata Geita Gold wale mliowafunga kwa bahasha ni zaidi ya Club Africain. Hii club imebaki jina tu, ila siyo uwezo.

Note: Club Africain kuwafunga kipanga goli saba ni sahihi kabisa, maana hata hao kipanga wakijichanganya kwa Polisi Tanzania au KMC wanakufa goli za kutosha.

Mnaenda makundi huko kuna vitimu vya mchongo vinapiga gozi hatari, kwahiyo wala mihogo jiandaeni kisaikolojia msije kuanza kusema "Nabi out!"
Vipi kuhusu Nyasa Big Bullets na wale De Agosto? Mbona na wenyewe ni Ihefu fc tu wanaoishi nje nchi!
 
Unajua ni vile tu binadamu tunajuaga kujizima Data. Sawa uliyoyaongea tuchukulie umepatia.

Rekodi za Simba na Yanga nazo vipi wakutanapo?
 
Hongera Yanga kwa kutinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho, haya mashindano mwaka jana msemaji wenu alisema ni mashindano ya waliofeli, ila sisi bado tunawapongeza kwa kuwafunga Africain kama mnavyowafunga Polisi Tanzania au KMC ugenini.

Nimesema hayo kwa sababu msimu uliyopita Ligi ya Tunisia hii Club Africain, ilimaliza nafasi ya tatu sawa na Azam FC ila kwa alama inafanana sana na Polisi Tanzania au KMC kwa maana ilikuwa na alama 36 tu. Ina maana hata Geita Gold wale mliowafunga kwa bahasha ni zaidi ya Club Africain. Hii club imebaki jina tu, ila siyo uwezo.

Note: Club Africain kuwafunga kipanga goli saba ni sahihi kabisa, maana hata hao kipanga wakijichanganya kwa Polisi Tanzania au KMC wanakufa goli za kutosha.

Mnaenda makundi huko kuna vitimu vya mchongo vinapiga gozi hatari, kwahiyo wala mihogo jiandaeni kisaikolojia msije kuanza kusema "Nabi out!"
Hii thread watakuja kuikumbuka club africain ni timu ya kawaida sana no wonder kipanga alitoa sare nao.
 
Hongera Yanga kwa kutinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho, haya mashindano mwaka jana msemaji wenu alisema ni mashindano ya waliofeli, ila sisi bado tunawapongeza kwa kuwafunga Africain kama mnavyowafunga Polisi Tanzania au KMC ugenini.

Nimesema hayo kwa sababu msimu uliyopita Ligi ya Tunisia hii Club Africain, ilimaliza nafasi ya tatu sawa na Azam FC ila kwa alama inafanana sana na Polisi Tanzania au KMC kwa maana ilikuwa na alama 36 tu. Ina maana hata Geita Gold wale mliowafunga kwa bahasha ni zaidi ya Club Africain. Hii club imebaki jina tu, ila siyo uwezo.

Note: Club Africain kuwafunga kipanga goli saba ni sahihi kabisa, maana hata hao kipanga wakijichanganya kwa Polisi Tanzania au KMC wanakufa goli za kutosha.

Mnaenda makundi huko kuna vitimu vya mchongo vinapiga gozi hatari, kwahiyo wala mihogo jiandaeni kisaikolojia msije kuanza kusema "Nabi out!"
Hivi hii akili ya Simba kujiona mko fainali tayari mnaitoa wapi au ni njia ya kujifariji?
 
Hongera Yanga kwa kutinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho, haya mashindano mwaka jana msemaji wenu alisema ni mashindano ya waliofeli, ila sisi bado tunawapongeza kwa kuwafunga Africain kama mnavyowafunga Polisi Tanzania au KMC ugenini.

Nimesema hayo kwa sababu msimu uliyopita Ligi ya Tunisia hii Club Africain, ilimaliza nafasi ya tatu sawa na Azam FC ila kwa alama inafanana sana na Polisi Tanzania au KMC kwa maana ilikuwa na alama 36 tu. Ina maana hata Geita Gold wale mliowafunga kwa bahasha ni zaidi ya Club Africain. Hii club imebaki jina tu, ila siyo uwezo.

Note: Club Africain kuwafunga kipanga goli saba ni sahihi kabisa, maana hata hao kipanga wakijichanganya kwa Polisi Tanzania au KMC wanakufa goli za kutosha.

Mnaenda makundi huko kuna vitimu vya mchongo vinapiga gozi hatari, kwahiyo wala mihogo jiandaeni kisaikolojia msije kuanza kusema "Nabi out!"
Hao KMC unao wadharau uliwafunga?
 
Leo yamekua hayo ?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Tuna wapongeza yanga
Ila Wakikuambia Yanga imeweka historia na haijawahi tokea.
Waambie Je wanakumbuka ile historia ambayo haijawahi vunjwa ya simba kupigwa 4-0 ikapindua ugenini kwa 0-5 au wamesahau
 
Hongera Yanga kwa kutinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho, haya mashindano mwaka jana msemaji wenu alisema ni mashindano ya waliofeli, ila sisi bado tunawapongeza kwa kuwafunga Africain kama mnavyowafunga Polisi Tanzania au KMC ugenini.

Nimesema hayo kwa sababu msimu uliyopita Ligi ya Tunisia hii Club Africain, ilimaliza nafasi ya tatu sawa na Azam FC ila kwa alama inafanana sana na Polisi Tanzania au KMC kwa maana ilikuwa na alama 36 tu. Ina maana hata Geita Gold wale mliowafunga kwa bahasha ni zaidi ya Club Africain. Hii club imebaki jina tu, ila siyo uwezo.

Note: Club Africain kuwafunga kipanga goli saba ni sahihi kabisa, maana hata hao kipanga wakijichanganya kwa Polisi Tanzania au KMC wanakufa goli za kutosha.

Mnaenda makundi huko kuna vitimu vya mchongo vinapiga gozi hatari, kwahiyo wala mihogo jiandaeni kisaikolojia msije kuanza kusema "Nabi out!"
Yaani mwaka huu mtateseka sana.
 
Back
Top Bottom