Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kweli kabisa. Ila uzuri ni kuwa wamecheza na waarabu wenzao nao wanajua figisu.Al ahly walibebwa tu mechi ya kwanza,Leo hawakua na mbinu yoyote ile
Ndio ndioIla waarabu kwa figisu noma.. Wa misri waliwafanyia wenzao figisu game ya kwanza leo waandishi wa habari wa misri wamegomewa kuzama uwanjani.
Baada ya goli ya tatu watunisia wameanza kuingiza mipira miwili miwili uwanjani kupoteza mda na kashi kashi za hapa na pale.
Sisi East Africa hatuna quality player's ,tunaokotaokota wazee,pia mbinu zetu za mchezo bado sanaKweli kabisa. Ila uzuri ni kuwa wamecheza na waarabu wenzao nao wanajua figisu.
Ingekuwa sisi wabongo saizi ungekuta tunalalamika tu na kulia lia.
Hawa uchezaji wao tutaendelea kuzilaumu tu timu zetu..wametuacha sana, tp mazembe na mamelodi wapewe heshima sana kupambana na haya majamaaIla mpira bana hao jamaa msimu ukianza ndio watacheza na kina Kichuya na mwenzake Kaseke halafu tukifungwa tunafukuza Kocha.
Huwa na hudhurua sana mechi za Tp mazembe ,huwezi fanananisha na timu zetu za Tanzania ,na nimewahi pia kuwashuhudia waarabu kwaoHawa uchezaji wao tutaendelea kuzilaumu tu timu zetu..wametuacha sana, tp mazembe na mamelodi wapewe heshima sana kupambana na haya majamaa
Hawa uchezaji wao tutaendelea kuzilaumu tu timu zetu..wametuacha sana, tp mazembe na mamelodi wapewe heshima sana kupambana na haya majamaa
Tatizo bongo mpira na siasa nyingi. Viongozi wapo kwa maslahi yao binafsi na sio kwaajili ya maendeleo ya soka.Huwa na hudhurua sana mechi za Tp mazembe ,huwezi fanananisha na timu zetu za Tanzania ,na nimewahi pia kuwashuhudia waarabu kwao
Jamaa mpira wanajua na wana mbinu nao
Tatizo bongo mpira na siasa nyingi. Viongozi wapo kwa maslahi yao binafsi na sio kwaajili ya maendeleo ya soka.
Ila chanzo kikubwa ni viongozi mkuu. Attitude za viongozi zikibadilika hata mashabiki nao watabadilika na wachezaji tunaweza kuwatengeneza tokea ngazi za chini.Sisi mpira bado Mkuu si viongozi tu ,hata baadhi ya mashabiki bado,wachezaji pia bado
Tuna safari ndefu ktk soka
Ila chanzo kikubwa ni viongozi mkuu. Attitude za viongozi zikibadilika hata mashabiki nao watabadilika na wachezaji tunaweza kuwatengeneza tokea ngazi za chini.
FIFA kila mwaka lazima itoe subsidies kwa Football Associations zote zilizopo chini yake kwaajili ya maendeleo ya soka kuanzia ngazi za chini (grass root).
Lakini jiulize hizo hela huwa zinatumika vipi na wapi. Kuna academies ngapi zilizopo chini ya TFF kwaajili ya grass root development? Hakuna kitu ni wizi wizi mtupu.
Makao makuu ya CAF yapo cairo..timu yeyote ikienda cairo miaka yote huwa hawatoki salama Al ahly huwezi kumfunga cairo hata barcelona ikienda cairo watafungwa kwa mbinu yeyote ileIla waarabu kwa figisu noma.. Wa misri waliwafanyia wenzao figisu game ya kwanza leo waandishi wa habari wa misri wamegomewa kuzama uwanjani.
Baada ya goli ya tatu watunisia wameanza kuingiza mipira miwili miwili uwanjani kupoteza mda na kashi kashi za hapa na pale.
Kuna team ya Bongo itakuja kucheza level ya esperance kweli????
Ule mpira kuna team za epl zinakaa aisee
Yaani Tp Mazembe sijui huwa anawakamata vipi hao jamaa. Tena akiwaga kwenye ubora wake huwa anawatwanga home and away kabisa.Hawa uchezaji wao tutaendelea kuzilaumu tu timu zetu..wametuacha sana, tp mazembe na mamelodi wapewe heshima sana kupambana na haya majamaa
Kwa kifupi hakuna tulijualo sio mpira tu.Sisi mpira bado Mkuu si viongozi tu ,hata baadhi ya mashabiki bado,wachezaji pia bado
Tuna safari ndefu ktk soka
Mishahara mizuri pia na quality of playersYaani Tp Mazembe sijui huwa anawakamata vipi hao jamaa. Tena akiwaga kwenye ubora wake huwa anawatwanga home and away kabisa.
Naaam Mkuu ,sisi ni porojo tu ,za timu zetu za kariakoo ,kelele nyingiYaani Tp Mazembe sijui huwa anawakamata vipi hao jamaa. Tena akiwaga kwenye ubora wake huwa anawatwanga home and away kabisa.
Hili ndilo muhimu na hkn janja janja km bongo mchezaji au kocha ana 10% na viongoziKwa kifupi hakuna tulijualo sio mpira tu.
Kagere sijui ana miaka mingapi yule dingi??!!!Sisi East Africa hatuna quality player's ,tunaokotaokota wazee,pia mbinu zetu za mchezo bado sana