Hii ilikuwa 2012View attachment 928550View attachment 928551
Mkuu umeongea point sanaHawa uchezaji wao tutaendelea kuzilaumu tu timu zetu..wametuacha sana, tp mazembe na mamelodi wapewe heshima sana kupambana na haya majamaa
Hahahaha Mkuu we mkorofi ngoja waje wenye mchezaji waoKagere sijui ana miaka mingapi yule dingi??!!!
Me ndo maana naikubali Tp Mazembe sanaaa....waarabu wanapigwaga balaasYaani Tp Mazembe sijui huwa anawakamata vipi hao jamaa. Tena akiwaga kwenye ubora wake huwa anawatwanga home and away kabisa.
Watu weusi tuna lana tu. Bara la Africa nchi zakiarabu nichache tu lakini zinatunyanyasa kisoka kabisa. Mashindano ya Champion league na Confidaration unaweza kuta semi final timu zote za waarabu, au round of 16 ukakuta timu karibu 10 za waarabu, Wakati nchi zenyewe ni 5 tu pengine. nasio tunakaribia 50.
Me ndo maana naikubali Tp Mazembe sanaaa....waarabu wanapigwaga balaas
Wenzetu wamewekeza Mkuu ,na mchezaji wanae msajiri ni wa kiwango ,sasa sisi mchezaji tunamsajiri kaisha zeeka ,Wawa,kagere,kamusoko,tambweHawa uchezaji wao tutaendelea kuzilaumu tu timu zetu..wametuacha sana, tp mazembe na mamelodi wapewe heshima sana kupambana na haya majamaa
Binafsi soka naliheshimu sana ila tatizo kuna watu wanaojifanya wanajua mno hata danadana hajui
Hahahaha Mkuu, unaua kila MTU mchambuzi na mtaalam wa soka ,na ndio maana huwasitakagi kubishana sana mambo ya soka maana kuna watu km haoHao sasa bongo ndio wamekua wengi na kutia fola balaa...
Wamekua kwa viwango toka kutazama mpira kwenye vibanda hadi kuwa wachambuzi wa soka la duniani.
Mtu anakuchambulia falsafa ya Barcelona au Real Madrid, arsenal, Chelsea au Manchester United kushinda hata makocha wa hizo timu.
Ukimsikiliza unaweza amini kuwa labda aliwahi kuwa board member wa hizo timu kumbe chenga tu.
Hatuna uwezo kuwafunga waarabu, wametuzidi mbali sana....Ila mpira bana hao jamaa msimu ukianza ndio watacheza na kina Kichuya na mwenzake Kaseke halafu tukifungwa tunafukuza Kocha.
Hakuna cha figisu hapo, wenzetu wanatumia akili uwanjani sio kama akina weusi manguvu nguvu tu....ingelikuwa esperance imecheza na timu ya weusi tungesema fitina imefanyika hapo...inshort wenzetu wametuzidi mbali sanaKweli kabisa. Ila uzuri ni kuwa wamecheza na waarabu wenzao nao wanajua figisu.
Ingekuwa sisi wabongo saizi ungekuta tunalalamika tu na kulia lia.
KabisaSisi East Africa hatuna quality player's ,tunaokotaokota wazee,pia mbinu zetu za mchezo bado sana
Kweli kabisaTatizo bongo mpira na siasa nyingi. Viongozi wapo kwa maslahi yao binafsi na sio kwaajili ya maendeleo ya soka.
Hata mimi nilikuwa upande wa espMakao makuu ya CAF yapo cairo..timu yeyote ikienda cairo miaka yote huwa hawatoki salama Al ahly huwezi kumfunga cairo hata barcelona ikienda cairo watafungwa kwa mbinu yeyote ile
Nimefurahi sana leo na nilikuwa nawasapoti esperance mwanzo mwisho ndoto za Al Ahly kubeba ubingwa wa 9 imekufa na kubwa ni mechi iliyopita esperance walionewa mno..
Watakung'utwa 20 mammaeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa wakikutana na vyura ,lazma tukumbuke jina letu la ubatizo,Tanganyika
Kweli kabisa, esp wanapiga mpira sio mchezo...kwa afrika timu 5 nazikubali mno zaidi ya zote...Wydad Casablanca, USM Algiers, Esperance, Almasry and Tp mazembeKuna team ya Bongo itakuja kucheza level ya esperance kweli????
Ule mpira kuna team za epl zinakaa aisee
Tp hawana uwezo kwa hayo majamaa...sometimes wanabahatisha tuYaani Tp Mazembe sijui huwa anawakamata vipi hao jamaa. Tena akiwaga kwenye ubora wake huwa anawatwanga home and away kabisa.
Waarabu wanajitambuwa...sisi ni wazee wa kupiga domoWatu weusi tuna lana tu. Bara la Africa nchi zakiarabu nichache tu lakini zinatunyanyasa kisoka kabisa. Mashindano ya Champion league na Confidaration unaweza kuta semi final timu zote za waarabu, au round of 16 ukakuta timu karibu 10 za waarabu, Wakati nchi zenyewe ni 5 tu pengine. nasio tunakaribia 50.
Kweli kabisa, esp wanapiga mpira sio mchezo...kwa afrika timu 3 nazikubali mno zaidi ya zote...Wydad Casablanca, USM Algiers and Esperance