Club bingwa africa(bonge la fainali)

Club bingwa africa(bonge la fainali)

Watu weusi tuna lana tu. Bara la Africa nchi zakiarabu nichache tu lakini zinatunyanyasa kisoka kabisa. Mashindano ya Champion league na Confidaration unaweza kuta semi final timu zote za waarabu, au round of 16 ukakuta timu karibu 10 za waarabu, Wakati nchi zenyewe ni 5 tu pengine. nasio tunakaribia 50.
 
Timu za East Africa bado sana Mkuu kwanza ligi zetu nyepesi ,pia hazina wachezaji wa kiwango

Tazama TPL tu ,ma fowadi wabovu kila wakija wanawika na kuibuka wafungaji bora

Mchezaji mbovu wa Kongo ,Zimbabwe au Zambia akija bongo ndio anakua mchezaji mkali
Watu weusi tuna lana tu. Bara la Africa nchi zakiarabu nichache tu lakini zinatunyanyasa kisoka kabisa. Mashindano ya Champion league na Confidaration unaweza kuta semi final timu zote za waarabu, au round of 16 ukakuta timu karibu 10 za waarabu, Wakati nchi zenyewe ni 5 tu pengine. nasio tunakaribia 50.
 
Binafsi soka naliheshimu sana ila tatizo kuna watu wanaojifanya wanajua mno hata danadana hajui

Hao sasa bongo ndio wamekua wengi na kutia fola balaa...

Wamekua kwa viwango toka kutazama mpira kwenye vibanda hadi kuwa wachambuzi wa soka la duniani.

Mtu anakuchambulia falsafa ya Barcelona au Real Madrid, arsenal, Chelsea au Manchester United kushinda hata makocha wa hizo timu.

Ukimsikiliza unaweza amini kuwa labda aliwahi kuwa board member wa hizo timu kumbe chenga tu.
 
Hahahaha Mkuu, unaua kila MTU mchambuzi na mtaalam wa soka ,na ndio maana huwasitakagi kubishana sana mambo ya soka maana kuna watu km hao
 
Kweli kabisa. Ila uzuri ni kuwa wamecheza na waarabu wenzao nao wanajua figisu.

Ingekuwa sisi wabongo saizi ungekuta tunalalamika tu na kulia lia.
Hakuna cha figisu hapo, wenzetu wanatumia akili uwanjani sio kama akina weusi manguvu nguvu tu....ingelikuwa esperance imecheza na timu ya weusi tungesema fitina imefanyika hapo...inshort wenzetu wametuzidi mbali sana
 
Makao makuu ya CAF yapo cairo..timu yeyote ikienda cairo miaka yote huwa hawatoki salama Al ahly huwezi kumfunga cairo hata barcelona ikienda cairo watafungwa kwa mbinu yeyote ile

Nimefurahi sana leo na nilikuwa nawasapoti esperance mwanzo mwisho ndoto za Al Ahly kubeba ubingwa wa 9 imekufa na kubwa ni mechi iliyopita esperance walionewa mno..
Hata mimi nilikuwa upande wa esp
 
Watu weusi tuna lana tu. Bara la Africa nchi zakiarabu nichache tu lakini zinatunyanyasa kisoka kabisa. Mashindano ya Champion league na Confidaration unaweza kuta semi final timu zote za waarabu, au round of 16 ukakuta timu karibu 10 za waarabu, Wakati nchi zenyewe ni 5 tu pengine. nasio tunakaribia 50.
Waarabu wanajitambuwa...sisi ni wazee wa kupiga domo
 
Kweli kabisa, esp wanapiga mpira sio mchezo...kwa afrika timu 3 nazikubali mno zaidi ya zote...Wydad Casablanca, USM Algiers and Esperance

Jombaa hata Hawa Jamaa kwa mzee mandela wako vizuri

Tanzania tuna safari ndefu sana wakati naangalia mechi ya Jana nilikua naangalia wale wachezaji wa esperance natafuta mmoja wa kumlinganisha na wachezaji wa Simba yanga na Azam sijaona kabisa
 
Back
Top Bottom