BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Hao Tp huwa wanawaotea tu...kiuuwezo wamezidiwa sana na waarabuMe ndo maana naikubali Tp Mazembe sanaaa....waarabu wanapigwaga balaas
Jombaa hata Hawa Jamaa kwa mzee mandela wako vizuri
Tanzania tuna safari ndefu sana wakati naangalia mechi ya Jana nilikua naangalia wale wachezaji wa esperance natafuta mmoja wa kumlinganisha na wachezaji wa Simba yanga na Azam sijaona kabisa
Waarabu wanajitambuwa...sisi ni wazee wa kupiga domo
Waarabu wanaweza figisu wakiwa afrika, ila wakienda kombe la Dunia, wanafungwa hovyo hovyo kabisaBaada ya goli ya tatu watunisia wameanza kuingiza mipira miwili miwili uwanjani kupoteza mda na kashi kashi za hapa na pale.
Si ndo hapo...ndio maana soka letu haliendelei kakaTunaishia ubaguzi tu
Kweli kabisa, esp wanapiga mpira sio mchezo...kwa afrika timu 5 nazikubali mno zaidi ya zote...Wydad Casablanca, USM Algiers, Esperance, Almasry and Tp mazembe
Hakuna cha figisu bwana, wenzetu Mungu amewajaalia....Waarabu wanaweza figisu wakiwa afrika, ila wakienda kombe la Dunia, wanafungwa hovyo hovyo kabisa
Sijacheki kaka [emoji23][emoji23]Jombaa uliangalia mechi ya Simba na Elmasry? Aiseee wale Elmasry bado kidogo
Rejea ile fainali ya mwisho na samata ndani.. Walicheza na wale Waalgeria wakawapiga nje ndani. How come useme wanabahatisha.Tp hawana uwezo kwa hayo majamaa...sometimes wanabahatisha tu
Sijacheki kaka [emoji23][emoji23]
Waarabu wanaweza figisu wakiwa afrika, ila wakienda kombe la Dunia, wanafungwa hovyo hovyo kabisa
ukiwa Na Uwekezaji Mzuri Waarabu Ni Mashoga Tu Unawafanya UnavyotakaHawa uchezaji wao tutaendelea kuzilaumu tu timu zetu..wametuacha sana, tp mazembe na mamelodi wapewe heshima sana kupambana na haya majamaa
Trump kumbe hata huku upo! Sawa aiseukiwa Na Uwekezaji Mzuri Waarabu Ni Mashoga Tu Unawafanya Unavyotaka
Hao wamisri walikufa Taifa goli la Captain Canavarro.Misri wakatutoa kwa penalty..wakaja tena tukadraw moja moja kwao wakatupiga 2-1 goli safi la Ngoma..wakati huo Yanga iko kwenye right track kweli mikia tunapiga pande mbiliHawa wakikutana na vyura ,lazma tukumbuke jina letu la ubatizo,Tanganyika