Club bingwa africa(bonge la fainali)

Club bingwa africa(bonge la fainali)

Jombaa hata Hawa Jamaa kwa mzee mandela wako vizuri

Tanzania tuna safari ndefu sana wakati naangalia mechi ya Jana nilikua naangalia wale wachezaji wa esperance natafuta mmoja wa kumlinganisha na wachezaji wa Simba yanga na Azam sijaona kabisa

Hahahhaaa kwamba hujaona hata mmoja wa kumlinganisha [emoji23][emoji23][emoji23]...tuna safari ndefu sana kaka...
 
Kweli kabisa, esp wanapiga mpira sio mchezo...kwa afrika timu 5 nazikubali mno zaidi ya zote...Wydad Casablanca, USM Algiers, Esperance, Almasry and Tp mazembe

Jombaa uliangalia mechi ya Simba na Elmasry? Aiseee wale Elmasry bado kidogo
 
Hawa wakikutana na vyura ,lazma tukumbuke jina letu la ubatizo,Tanganyika
Hao wamisri walikufa Taifa goli la Captain Canavarro.Misri wakatutoa kwa penalty..wakaja tena tukadraw moja moja kwao wakatupiga 2-1 goli safi la Ngoma..wakati huo Yanga iko kwenye right track kweli mikia tunapiga pande mbili
 
Ile gemu ilikuwa nyoko uzuri niliangalia ile ya mwanzo na hii ya marejeano pale uwezi kubadili channel mpira kama wote. Ila CUF itabidi wabadili utaratibu iwe inachezwa mechi moja kwenye nutral ground pengine na sisi tunaweza kupewa heshima yakuandaa japo fainali pale kwa mchina.
 
Back
Top Bottom