Club Bingwa Africa: Simba SC inakwenda kuweka rekodi mpya kabisa!

Simba isije ikafanya kosa walilofanya Man utd kwenye ligi ya mabingwa msimu huu, Utd alianza kwa ushindi ugenini dhidi ya psg kisha kuibugiza leipzig bao 5 nyumbani, wakabweteka wakapigwa ugenini na kibonde fernabahce ya Uturuki. Wakajiweka kwenye mazingira magumu presha ikawa kubwa wakapigwa mechi 2 za mwisho na psg na leipzig. Mwisho wa siku wakashika nafasi ya 3 wakang'oka. So wachezaji wasibweteke kuidharau Merreikh, wajue mechi ya marudiano na AS Vita ni ngumu pia kule Misri hakuna muujiza wa kuepuka kupigo.
 
Kwani mashabiki wa Yanga wana kwama wapi? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tayari unaleta siasa. Mie sio utopolo mkuu naongea ukweli, mpira hasa virabu vya tanzania ni homa za vipindi na siasa. Ikatokea hapo simba akapigwa mechi mbili tatu, tayari mnageuka na kuanza tukana, sasa hizo ni akili au uchafu kwenye kichwa
Wachache watakao kuelewa!! Mpira wa bongo (hasa sisi mashabiki/washabiki) tunaipenda timu na kusapoti pale inapofanya vizuri tu. Ikianza kufungwa tunarudianamo😂😂😂
 
Mimi naita huu ni ushamba wa kisoka,kwa klabu kama simba haikupaswa kuona haya matokeo kama miujiza na kuja kujaza server za Jf. Na kwa hii mihemko mliyonayo hamuendi kokote,kwa sababu kwanza hamjiamini. Ulikuwa ni wajibu wenu kupata matokeo mazuri,acheni kusumbua watu
Pole mkuu naona unateseka sana 🤣🤣
 
Mimi naita huu ni ushamba wa kisoka,kwa klabu kama simba haikupaswa kuona haya matokeo kama miujiza na kuja kujaza server za Jf. Na kwa hii mihemko mliyonayo hamuendi kokote,kwa sababu kwanza hamjiamini. Ulikuwa ni wajibu wenu kupata matokeo mazuri,acheni kusumbua watu
Hawafiki popote..??. Kumbe hata kwenda robo fainal utawazuia?

We mbona mjinga sana
 
Ni ngumu kwa baadhi ya mashabiki wenye mrengo fulani hivi kuamini, lakini huu ndio ukweli! Simba inakwenda kuweka rekodi mpya kabisa kwa kizazi hiki kwa kufika mbali sana kwenye mashindano ya Club bingwa Africa!

Ni wazi kabisa kwenye group lake hakuna wa kumzuia kuongoza ama kuingia robo fainali hadi hivi sasa!

Mechi ngumu ilikuwa ni kati yake na Al Ahly ambapo imekwisha na Simba ikajinyakulia point tatu muhimu na kuongoza kundi!

Na pengine mechi ya maridiano na Al Ahly kwao itakuwa ngumu, pia ila naamini vijana watakaza pengine kushinda ama hata sare!

Zimebaki mechi nne mzunguko wa makundi uishe, kwa kiwango cha Simba ilichonacho hivi sasa uwezekano wa kushinda mechi zaidi ya mbili kati ya hizo zilizobaki na kujikatia tiketi ya kucheza robo fainali ni mkubwa sana!

Zipo dalili za kila aina zinazoonyesha kuwa simba anaweza kuongoza katika kundi lake, na endapo itakuwa hivyo basi robo fainali atacheza na atayemaliza nafasi ya pili kutoka katika makundi yanayoshiriki, na hiyo itakuwa ni do or die hadi kieleweke, simba itaingia nusu fainali!

Na kitakachowashangaza wengi ni matokeo ya nusu fainali kuwa ya kuduwaza hasa wale wasioipenda Simba na mafanikio yake!

Mechi ya fainali itaacha historia ya karne kwenye kizazi hiki!

Viva Simba
[emoji1491][emoji881][emoji881]
Nakumbuka mwanzoni mwa msimu huu kwenye UCL group stage.... Man United waliwashinda PSG na Leipzig - kilikuwa ni kishindo kikubwa. Kila mtu akaanza kwapigia chapuo eti watabeba ndoo ya UCL msimu huu. Sasa hivi naona wanapigania mitungi ya oksijeni ya Europa League!!
 
Simba isije ikafanya kosa walilofanya Man utd kwenye ligi ya mabingwa msimu huu, Utd alianza kwa ushindi ugenini dhidi ya psg kisha kuibugiza leipzig bao 5 nyumbani, wakabweteka wakapigwa ugenini na kibonde fernabahce ya Uturuki. Wakajiweka kwenye mazingira magumu presha ikawa kubwa wakapigwa mechi 2 za mwisho na psg na leipzig. Mwisho wa siku wakashika nafasi ya 3 wakang'oka. So wachezaji wasibweteke kuidharau Merreikh, wajue mechi ya marudiano na AS Vita ni ngumu pia kule Misri hakuna muujiza wa kuepuka kupigo.
Haya ndio mawazo ya mabingwa..

ni kweli inabidi mechi dhidi El merikh tubebe point 4 home and away.. /+6=10 POINT

As Vita kwa Mkapa anapajua vzr wala hatusumbui.
 
Simba isije ikafanya kosa walilofanya Man utd kwenye ligi ya mabingwa msimu huu, Utd alianza kwa ushindi ugenini dhidi ya psg kisha kuibugiza leipzig bao 5 nyumbani, wakabweteka wakapigwa ugenini na kibonde fernabahce ya Uturuki. Wakajiweka kwenye mazingira magumu presha ikawa kubwa wakapigwa mechi 2 za mwisho na psg na leipzig. Mwisho wa siku wakashika nafasi ya 3 wakang'oka. So wachezaji wasibweteke kuidharau Merreikh, wajue mechi ya marudiano na AS Vita ni ngumu pia kule Misri hakuna muujiza wa kuepuka kupigo.
Pole utopolo!! Kabla ya mechi usingesema hayo maana uliamini Simba atafungwa! Endeleeni kuhamisha goli! Jana baada ya kipindi Cha kwanza utopolo walisema ngojeni kipindi Cha pili, hawa jamaa wanawasoma tu, kipindi Cha pili kikaisha Sasa mnasema ngoja mkienda Misri mtakiona. Poleni Sana utopolo!
 
hilo usiwaze kabisa. Hizi ni vurugu tu za mashabiki. Ila timu na bench la ufundi liko makini na matokeo yamekuwa motisha kubwa ya kufanya vizuri.
 
Waswahili wana msemo wao usitukane mamba kabla ujavuka mto.
Wenye kuelewa hawatauliza swali
 
Pole utopolo!! Kabla ya mechi usingesema hayo maana uliamini Simba atafungwa! Endeleeni kuhamisha goli! Jana baada ya kipindi Cha kwanza utopolo walisema ngojeni kipindi Cha pili, hawa jamaa wanawasoma tu, kipindi Cha pili kikaisha Sasa mnasema ngoja mkienda Misri mtakiona. Poleni Sana utopolo!
Unaonesha uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana, kwaiyo mtu akitoa comment ya tahadhari bac ni shabiki wa uto...poor-minded!!!
 
Nakumbuka mwanzoni mwa msimu huu kwenye UCL group stage.... Man United waliwashinda PSG na Leipzig - kilikuwa ni kishindo kikubwa. Kila mtu akaanza kwapigia chapuo eti watabeba ndoo ya UCL msimu huu. Sasa hivi naona wanapigania mitungi ya oksijeni ya Europa League!!

Hapa tunazungumzia Simba Sc na siyo Man utd! Simba na Man utd ni clubs mbili tofauti na zenye falsafa tofauti pia! Hatuwezi kuzungumzia alikopita Man Utd hapa angali, huu uzi hauhusu Man utd!
Usichanganye mambo tafadhali!
 
🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️
 
Mimi naita huu ni ushamba wa kisoka,kwa klabu kama simba haikupaswa kuona haya matokeo kama miujiza na kuja kujaza server za Jf. Na kwa hii mihemko mliyonayo hamuendi kokote,kwa sababu kwanza hamjiamini. Ulikuwa ni wajibu wenu kupata matokeo mazuri,acheni kusumbua watu

Wale uliosema hawaendi popote sasa wapo south Africa huko, wakijiandaa kukamilisha ratiba ya kucheza nusu fainali, vipi unataseka ukiwa umeenda wapi bhana, au bado upo hapo kidimbwi...!?
 
Hutampata!! Utopolo huyu anapita hapa kimya kimya huku akiteseka moyoni!
 
Wale uliosema hawaendi popote sasa wapo south Africa huko, wakijiandaa kukamilisha ratiba ya kucheza nusu fainali, vipi unataseka ukiwa umeenda wapi bhana, au bado upo hapo kidimbwi...!?

Mkuu nipo kidimbwi toka juzi baada ya mechi yenu,wewe upo wapi?
 
Nipo La Concha beach, unateseka bado...?!
Sema walao nikupe exposure uachane na hizo beach za watoto wa tandika!
 
Back
Top Bottom