Nimezunguka
1, The Element
2, Havock
3, Maisha club
4, The Legend
But ninaona maDj wanapiga nyimbo za kubembelezana yani hakuna clubing vibes!
Kibongobongo baada ya kufa Bills na Savana ninaona MaDj hawajielewi yani wanapiga nyimbo za kulalia Club.
Kama kuna club yenye vibes kitaani kwako tupeane connection tunaibuka dk sifuri tu kikubwa tu iwe ndani ya Dar!.