Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Baada ya kuona uzi hapa wa mdau kuuza move ya site za ngono kufunguliwa nikaenda kuangalia kama Club House imeachiliwa pia, maana ilikuwa kundi moja ya sites/apps zilizozuiwa na serikali kuminya uhuru wetu wa kuwasiliana na kupata taarifa.
Nilipojaribu kufungua ulikubali, ila nilitoka kidogo baada yakupokea simu, niliporudi haikupatikana tena. Sasa sijui kama mtandao unasumbua lakini imefunguliwa au ilikuwa bahati mbaya nikaweza ku access kwa muda mminya mitambo aliposhtuka tukarudi kule kule kwenye kuzuia.
Bumunda na serikali kwa ujumla you can do better than this! Yaani ujinga ni ule ule kila mwaka halafu mnajinadi ni wana demokresia, nchi yenye furaha, kujitapa nchi yenye mazingira mazuri kwenye uhuru wa vyombo vy ahabari na kujieleza wakati tumezidi kuminywa (japokuwa hali ilikuwa mbaya wakati wa Magufuli) lakini hakuna cha kujivunia kwa upuuzi huu unaoendelea.
Wanaokosoa serikali bado wanakamatwa na kupewa kesi za kijinga, polisi bado wanaminya haki za wananchi na ukatili unapamba moto, bado uhuru wa kijieleza, kuwasiliana, kukusanyika unaminywa, bado ufisadi na rushwa za kutosha zinafanyika, bado KATIBA inaendelea kuvunjwa kila kukicha!
SERIKALI KWELI MNAUCHUNGU NA TANZANIA? KWELI MNATAKA TANZANIA IENDELEE? Metendo yenu yanaonesha wazi mmejipanga kuiua nchi hii kwa nguvu zenu zote!
KULA KWA UREFU WA KAMBA ZENU.... hivi wananchi kwanini tunaruhusu kuongozwa na wajinga?