Club House na Space ndiyo vijiwe vya sasa hivi

Club House na Space ndiyo vijiwe vya sasa hivi

Hiyo mpka vpn

Sent using Jamii Forums mobile app

Daah ndiyo nimeshangaa maana mwanzo nilikuwa ikija notification nikiclick tu naingia kwenye mada ila leo kila nikijaribu naona chenga ndiyo likaja wazo la kuinstal VPN ndiyo ikakubali.

Juzi juzi Gerson Msigwa alikuja na Tangazo kwamba watakuwa na mjadala clubhouse saa tatu usiku ghafla naona amepostpone huwenda sababu ni hiyo.
 
Kama kuna mtu ana muunga mkono kijana graduate kutembea na radio. Na eti mtoa thread nae kaonekana ametoa story of thought. A touching story kama kuna anayemuunga mkono. Haya aendelee. Ila mimi nasema huyo dogo ni MPUUZI. Tena saaana. Yaani aweze kuuzia matunda huko club house. Ashindwe kabisa kufikiria jambo la shughuli kama msomi.
Ni maisha yake kuna shida? At the end kinacho angaliwa ni pesa, angekuwa hapati kitu angeisha acha, hizi ushauri ndizo zinafanya vijana wazungushw Cv miaka yote
 
Back
Top Bottom