Club ya chelsea yafungiwa miaka miwili na fifa

Club ya chelsea yafungiwa miaka miwili na fifa

Joined
Jan 1, 2013
Posts
23
Reaction score
21
Club ya Chelsea imekumbana na adhabu ya kutokufanya uamisho wa wachezaji kwa miaka miwili na shirikisho la soka duniani FIFA,Adhabu iyo inakuja baada ya chelsea kufanya usajili wa mchezaji Bertrand Traore raia Bukina faso akiwa na umri wa miaka chini ya miaka 18,ambae kwa sasa anacheze club ya lyon ya ufaransa.
 
wajinga sana hao,man u wameinjinia upuuzi huu
 
mtoa mada acha kupotosha.
chelsea ipo chini ya uchunguzi wa fifa na bado hawajafungiwa kusajili/kuuza mpaka uchunguzi utakapo malizika.
 
Woyoooo! Ngoja tuvute viungo vya chelsea kuanzia Kante william
 
Back
Top Bottom