Club ya Kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club kuwania kuiwakilisha Afrika Kombe la dunia la Vilabu

We ndio hujasoma nilichokiandika

Katika list ya 12 clubs hapo juu nioneshe Yanga ipo namba ngapi

Usiniletee politics na polifix hapa
 
Kwahiyo wewe umeona Yanga kuchukua ubingwa umeona haliwezekani, ila Simba kufikisha point kuizidi point za Mamelod au Es Tunis kwa gap ya point 30+ ukaona linawezekana? Yaani usimba na Uyanga unakutoa uwezo wa kufikiria kabisa.
Kwanza imekuaje nyie hapo kwenye list ya 12 hampo?

Wakati kila siku humu mnatamba kuwa IFFHS ambayo ipo linked na FIFA inataja kuwa Yanga ipo nafasi tatu?

Simba kufikiq point za Mamelody ni jambo ambalo linawezekana na ndio maana amewekewa probability kubwa kuliko wewe.

Nyinyi kuchukua ubingwa wa CAF Champion league wala tusi mung'unye maneno HAIWEZEKANI
 
Mamelod na ES Tunis hawajapishana Sana point
 
Kwa hiyo unataka kusemaje, kuwa taarifa sio sahihi?
 
Yanga hayupo wapi? Kwani Yanga katolewa kwenye mashindano ya klabu bingwa?
Kubishana na hawa mambumbumbu utapata strees tu. Kwani wenyewe wanachojua duniani ni ubishi wa kitoto usio wa kulazimisha
 
Hizo timu 4 hapo juu ndio zitaenda hakuna kitakacho badilika
 
Embu tuacheni mzaha jamani, Simba hiihii ya Papaa Boko, Kapombe, Zimbwe, Mzamiru iwanie kwenda kucheza dhidi ya Man City, Bayern, Madrid n.k?

Huu sasa ni mzaha.
Umemsahau Ayub
 
Unajidhalilisha tu. Umeona umeshindwa kwenye hoja umeanza kuhamisha magoli. Likifika swala la usimba linakutoa akili kabisa
 
Kwani vigezo vya kushiriki ni rank pekee?
IFFHS inahusisha tathmini ya mashindano yote ya ndani na nje. Hayo mashindano ya club world cup inahusisha mashindano ya klabu bingwa pekee
Hoja yako ya IFFHS haihusiani hapa.
 
Hapa mnachangamsha genge hii ni mission impossible
 
Na kwa akili zako 'timamu' Yanga inaweza kuchukua kombe la CAFCL? Hata robo fainali inaweza?
 
Kwahiyo wewe umeona Yanga kuchukua ubingwa umeona haliwezekani, ila Simba kufikisha point kuizidi point za Mamelod au Es Tunis kwa gap ya point 30+ ukaona linawezekana? Yaani usimba na Uyanga unakutoa uwezo wa kufikiria kabisa.
Wala hatujamaliza mjadala wa uwezekano wa Yanga kufika robo fainali za CAFCl umesharukia kwenye Yanga kuchukua kombe? 😂😂
 
Unajidhalilisha tu. Umeona umeshindwa kwenye hoja umeanza kuhamisha magoli. Likifika swala la usimba linakutoa akili kabisa
Najidhalilishaje?

We hiyo list inayomuonesha Yanga ipo umeiona kwenye vyanzo vya CAF au FIFA?

Nani anaye dhalilika hapo?
 
Kwani vigezo vya kushiriki ni rank pekee?
IFFHS inahusisha tathmini ya mashindano yote ya ndani na nje. Hayo mashindano ya club world cup inahusisha mashindano ya klabu bingwa pekee
Hoja yako ya IFFHS haihusiani hapa.
Sasa kama mashindano ya nje na ndani Yanga alikuwa nafasi ya pili, kwanini kwenye top 13 ya FIFA Yanga hayupo?

Hayo mashindano ya nje ni mashindano gani kama huku kwenye CAF na FIFA hauonekani?
 
Sasa kama mashindano ya nje na ndani Yanga alikuwa nafasi ya pili, kwanini kwenye top 13 ya FIFA Yanga hayupo?

Hayo mashindano ya nje ni mashindano gani kama huku kwenye CAF na FIFA hauonekani?
Huyo jamaa ni dalali wa IFFHS
 
Huyo jamaa ni dalali wa IFFHS
Nilipoona watu wanakuja na post za kuonesha Yanga pia imetajwa na FIFA nilistuka.

Nikajiuliza hawa FIFA wamejisahau vipi kuweka dust kwenye list.

Ikabidi niingie chaka kusaka hizo data lakini kila napopita kwenye official site za FIFA nakutana na list ya vilabu 12 tu

Kwa hiyo nimepata mashaka kuwa watu wameamua kucheza na Photoshop ili kujilisha upepo mashabiki wa Yanga waamini nao pia wapo.
 
Sasa kama mashindano ya nje na ndani Yanga alikuwa nafasi ya pili, kwanini kwenye top 13 ya FIFA Yanga hayupo?

Hayo mashindano ya nje ni mashindano gani kama huku kwenye CAF na FIFA hauonekani?
Haya maswali naulizwa na mtu anayejua mpira au usiyejua mpira?
Mashindano ya nje ni mashindano ya kimataifa ambapo kwa CAF yapo mawili ambayo ni CAFCl na CAFCC ambayo yanaitwa CAF interclub championship.
Kwa msimu uliopita Yanga alikusanya point 20 kupitia haya mashindanoni.

Halafu hauoni IFFHS na FIFA kuelekea mashindano mapya kila mmoja anatumia vigezo vyake?
IFFHS wanakusanya point kwenye mashindano ya ndani (ligi kuu na FA) na mashindano ya kimataifa ( cafcc na cafcl)
Huku FIFA wakitumia kigezo kimoja pekee cha cafcl je hapo rank za IFFHS na FIFA zitalingana vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…