Club ya Kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club kuwania kuiwakilisha Afrika Kombe la dunia la Vilabu

Kifupi ni kwamba hakuna anae enda huko sio Simba wala Yanga sababu option iliyo baki ni kuchukua ubingwa wa CAF kwa vigezo vya rankings mlima ni mrefu
 
Duh umeamua kujitoa akili hadi kufikia kubishana na FIFA wenyewe. Nimekutumia hiyo attachment nikajua itakufanya ufungue akili yako kumbe una asili ya kubishana sio kuelewa. Haya ingia hapo ukurasa wa FIFA uone kuna nafasi ngapi za bingwa na nafasi ngapi ya upande wa ranking. Nikajua naongea na mtu anayejua au hata kufatilia vitu, kumbe muda wote najadiliana na asiyejua lolote lile.

 
Kifupi ni kwamba hakuna anae enda huko sio Simba wala Yanga sababu option iliyo baki ni kuchukua ubingwa wa CAF kwa vigezo vya rankings mlima ni mrefu
Ndio ni kweli haipingiki kuwa gape la point ni kubwa na mpinzani ambaye yupo kwenye nafasi ya kunufaika ametuacha mbali
 


Wee jamaa ni mbishi sana, hebu soma hicho kichwa Cha habari kuhusiana na vigezo vya kupatikana izo timu 4. Mbona jamaa anaeleza vizuri sana
 
Ngoja kwanza tuwekane sawa ili tusionekane kubishana tu bila sababu ya msingi.

Umeona kwenye reply yangu kuna attachment yako hapo?

Au umefanya editing wakati tayari nime teply na kuchukua advantage ya kunisuta?

Sasa nakuambia kuwa hiyo attachment yako bado haipingani na hoja yangu

Kama umesoma hiyo article vizuri bila shaka utakuwa umekutana na hii ripoti ya baraza ya kikao kilichofanyika mwezi wa tatu


Unaniambiaje kuwa kigezo sio ranking?
 
Mzee ujifunze kwanza kufatilia jambo kabla ya kubishana unajitia aibu,
Katika haya mashindano ya FIFA club world cup nafasi ya timu tatu ni timu mabingwa wa CAF champions league, na nafasi ya timu moja pekee ndio inayochukuliwa kwa ranking.
Al Ahly na Wydad wamefuzu kwasababu ya kuwa mabingwa wa CAF champions league. (2020- 2023) hivyo bingwa mpya wa CAF champions league msimu anafuzu moja kwa moja kwenye FIFA club world cup. Na laiti kama msimu wa 2022/2023 bigwa angekuwa timu tofauti na Al Ahly na Wydad maanake mashindano yangewakilishwa na mabingwa wanne
1) bingwa wa CAFCL 2020/2021
2) bingwa wa CAFCL 2021/2022
3) Bingwa wa CAFCL 2022/2023 na wanne ni
Bingwa wa CAFCL 2023/2024 ila kwavile Al Ahly kachukua mara mbili ndio inalazimika timu moja ichukuliwe kwa kuangalia rank

Kigezo cha ubingwa kipo sawasawa na kwa upande wa UEFA
Chelsea anapata nafasi ya kushiriki kwavile ni bingwa wa UEFACL 2020/2021
Real Madrid bingwa 2021/2022
Man city bingwa wa 2022/2023
Hivyo bingwa wa UEFACL 2023/2024 ataungana na hao juu
 
Embu tuacheni mzaha jamani, Simba hiihii ya Papaa Boko, Kapombe, Zimbwe, Mzamiru iwanie kwenda kucheza dhidi ya Man City, Bayern, Madrid n.k?

Huu sasa ni mzaha.
Hiyo nafasi bora ingekuwa inawezekana wangepewa Tabora united kuliko hao tutusa fc
 
View attachment 2852541
Wee jamaa ni mbishi sana, hebu soma hicho kichwa Cha habari kuhusiana na vigezo vya kupatikana izo timu 4. Mbona jamaa anaeleza vizuri sana
Nakujibu kwa fact

Hapo heading inasema vilabu viwili kwa tiketi ya ubingwa.

Sasa kama kuwa bingwa ndio kigezo cha kupata timu mbili vipi kwa situation ambayo timu moja ime beba ubingwa mara 4 mfululizo?

Ndio hapo point yangu inapokuja kuwa kigezo kikuu ni ranking na ndicho kilichoamuliwa kwenye kikao kilichofanyika March

Unaweza kusoma hapa
 
Africa inatoa timu ngapi? Na jumla ya vilabu vitakavyoshiriki michuano ni vingapi? Hilo litakuwa kombe la Ulaya
Hii ni habari mbaya kwa utopolo FC.😀😀😀😀😀 Wao wawekeze kwenye NBC na Shirikisho watapiga hela sana
Anaogopa kucheza Champion League na anaogopa kucheza na Al Ahly, Al Hilal, Mamelod na Wydad.
Waliposikia Simba akifuzu kuingia robo fainali anakutana na Mamelod basi wanafurahi. Hawajui ukicheza na timu kubwa nawe unakiwa timu mkubwa
 
Inaweza ikawa mbili incase Al Ahly ama wydad akabeba. Pia Mamelodi akibeba anakua hayupo so Es Tunis anakua ndio mkubwa.
 
Embu tuacheni mzaha jamani, Simba hiihii ya Papaa Boko, Kapombe, Zimbwe, Mzamiru iwanie kwenda kucheza dhidi ya Man City, Bayern, Madrid n.k?

Huu sasa ni mzaha.
Hiyo hiyo unayoijua.
Kama Yanga ametumia miaka 25 kufuzu kuingia kwenye makundi ya champion league na alipigwa 3-0 unategemea atapewa nani hapa Tanzania?
 
Hayo maelezo yamalizie hadi chini kwenye Africa 4 teams, halsfu niambie hapo walipoandika "Via champions pathway (CAF Champions League) – 3 teams"
umeelewa nini hapo? Hapo walipoandika
 
Sasa hiki ulichoakiandika kina utofauti gani na kile nilicho kujibu?

Katika nafasi tatu za mabingwa kumbuka zimelenga katika misimu minne.

Sasa hiyo misimu minne ikiwa imechukuliwa yote na timu moja, kigezo kitakuwa ni nini ili upate timu 4?
 
Kabla ya kwenda huko, hujaakiri hapa kuwa uliongea uongo huko juu au pengine ulikuwa hujui. Haya hapo Wydad na Al Ahly wamewekwa sababu ya rank zao au sababu ya kuwa mabingwa?
 
Hayo maelezo yamalizie hadi chini kwenye Africa 4 teams, halsfu niambie hapo walipoandika "Via champions pathway (CAF Champions League) – 3 teams"
umeelewa nini hapo? Hapo walipoandika View attachment 2852561
Mbona ipo wazi kuwa hicho ni kigezo cha ziada kwasababu hao ndio top ranked na ndio maana unaona points zao hapo juu.

Swali ambalo mpaka sasa hujajibu ni kuelezea mazingira ya kupitisha Club mbili iwapo katika misimu minne alikuwa ni bingwa mmoja tu

Ndio maana nikakupa hii screenshot uangalie main factor ni ipi
 
Kabla ya kwenda huko, hujaakiri hapa kuwa uliongea uongo huko juu au pengine ulikuwa hujui. Haya hapo Wydad na Al Ahly wamewekwa sababu ya rank zao au sababu ya kuwa mabingwa?
Uongo upi huo?

Kwamba hii screenshot mimi nimeifoji?

 
Hujanijibu swali Wydad na Al Ahly wamefuzu kwasababu ya rank zao au sababu ni mabingwa wa CAF champions league msimu mitatu nyuma?
Wamefuzu kwasababu ya hiki kilichopigiwa kura kwenye kikao kilichofanyika Rwanda

 
Hilo swali nitakujibu kama tukishafikia muafaka wa post namba 61 uliponikatalia kuwa Wydad na Al Ahly hawakufuzu sababu ya kuwa mabingwa bali ni kwasababu rank zao. Je bado msimamo wako bado upo hivyo hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…