Club ya Manchester United yafanya kisomo

Club ya Manchester United yafanya kisomo

Kibereko

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
383
Reaction score
895
Amani ya mwenye kumiliki huu ulimwengu hipo pamoja nanyi.

Masheikh kutoka NChi mbali mbali Dunian ikiwemo nchi yangu pendwa kabisa ya Tanzania wamefika katika Club ya Manchester united kwa ajili ya kufanya Dua kubwa kwa maandalizi ya msimu ujao.

Nini mtazamo wako.

Baada ya kuangalia hiyo video.
 
Sasa hapo old traford wanamtangazia nani kuwa dini ni ya Amani?

Mi ninachojua michezo haina dini ndio maana hiyo timu inajiita red devils
 
Sasa hapo old traford wanamtangazia nani kuwa dini ni ya Amani?

Mi ninachojua michezo haina dini ndio maana hiyo timu inajiita red devils
Stay tune ntakujuza zaidi mkuu, club imeandaa kongamano kubwa la kuiombea club ndani ya mwezi huu mtukufu
 
Back
Top Bottom