Kwani mpita hauitaji wasomi?Huyu atakuwa msomi wa kwanza kucheza soka hapa bongo,Dah anko Magu nae apunguze kubana wasomi wa viwanda cjui atawapata wapi
Mkuu Mbona wasomi wengi wamecheza mpira bongo mfano ni: Leodgar Tenga, Lawrence Mwalusako, Marehemu Method Mogella, Lelant Lusajo etcHuyu atakuwa msomi wa kwanza kucheza soka hapa bongo,Dah anko Magu nae apunguze kubana wasomi wa viwanda cjui atawapata wapi
huyo jamaa alikuwa anasoma basi tu ila jaa ni bonge la striker anachezea mguu wa kushotoHuyu atakuwa msomi wa kwanza kucheza soka hapa bongo,Dah anko Magu nae apunguze kubana wasomi wa viwanda cjui atawapata wapi