Club za mpira wa miguu duniani zinazoongozwa kwa mfumo wa hisa ni hizi

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
32,378
Reaction score
29,739
1. SIMBA SC (Tanzania).
2. Arsenal FC (England)
3. Man Utd (England)
4. AC Milan (Italy)
5. Barcelona (Spain)
6. Bayern Munich (Germany)

Club zinazoendeshwa kwa mfumo wa wanachama ni;

1. Yanga SC(Dar Tz)
2. Kiluvya Utd (Pwani Tz)
3. Kauzu FC(Dar Tz)
4. Mlalakua (Dar Tz)
5. Mbao FC(Mwanza Tz)
6. Misosi FC(Dar Tz)
7. Majimaji FC(Songea Tz)
8. Coastal Union (Tanga Tz)
9. Lipuli FC (Iringa Tz)
 
Msije kulialia tu hapa maana TRA wakigonga hodi lazima muhindi atoke nduki!
 
Umesahau kuwa timu zote ulizotaja kwenye hilo kundi la Simba ni za mpira wa miguu lakini sio za mbumbumbu kama ilivyo Simbwa.
 
Matopeni nayo imo au ndiyo kwanza inaingia with unexpected results?
Niambie Real Madrid ipo kwenye mfumo gani. Ndiyo Club iliyoshinda zaidi Champions League including back to back
 
Sio kweli Barcelona na majority ya timu za Spain zinaongozwa kwa mtindo wa wanachama. Wanachama ndio wenye sauti na ndio maana zina mafanikio makubwa kuliko hizo za hisa.
Hata timu za Germany ni hivyo hivyo tu.
unachosema sio kweli ni kipi hapo?
 
Umesahau Yanga ndiyo timu pekee inayoishi kwenye maji kama pweza
 
Club bora kabisa duniani Real Madrid inamilikwa na kuendeshwa na wanachama hadi leo.

Ndiyo Club iliyoshinda zaidi Champions League pamoja na back to back.

Rais wao huchaguliwa na wanachama. Lakini ni vigumu Mbumbumbu kuyajua haya. Barcelona ina mfumo huo huo.
 
Yanga naona mnatoa mapovu, nyie mmeanza kutumia huo mfumo lini?? Kwa hiyo Madrid wakishinda sababu ni mfumo kama wenu na nyie mnajiona mmefanikiwa??
Simba Sc daima inaweka mifano ya kufuatwa hapa EA.
 
Kwa mfano kipi kinafuatwa toka Simba?
Mkikosa ubingwa msimu huu na ujao, mfumo huo utasambaratika mchana kweupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…