Club za mpira wa miguu duniani zinazoongozwa kwa mfumo wa hisa ni hizi

Okei, vipi kuhusu Yanga??

Mkuu Club yangu hiyo, ila kwangu the proposal aliyekuja nayo manji ya Kukodisha timu ilikuw abora kabisa, maana baada ya hapo nauwakika timu ingekuw atayari kujiendesha kwa mfumo wa wanachama na ikiwa na nguvu zaidi na bora.
 
Man Utd ni timu ya Familia ya kina Glazer

True!
wajinga hawajuhi, na pengine hawajuhi kuwa kuna manunited nyingine ilianzishwa ya wanachama baada ya hii kuuzwa na ipo mbioni kupanda madaraja kufika ligi kuu.

F.C. United of Manchester - Wikipedia

F.C. United of Manchester is a semi-professional football club based in Moston, Manchester, England. The club competes in the National League North, the sixth tier of the English football league system, and play their home matches at Broadhurst Park.

Founded in 2005 by Manchester United supporters opposed to American businessman Malcolm Glazer's takeover of that club, F.C. United entered the North West Counties Football League Division Two in their inaugural season. They achieved three consecutive promotions in the first three years of their existence and were promoted for a fourth time to compete in the National League North for the 2015–16 season. In cup competitions, F.C. United reached the second round of the FA Cup during the 2010–11 season and the fourth round of the FA Trophy during the 2014–15 season.

After sharing multiple stadia across Greater Manchester between 2005 and 2015, F.C. United opened their own ground, Broadhurst Park in north-east Manchester, in May 2015. The team was managed by Karl Marginsonsince its formation in 2005 until October 2017; the current manager is Tom Greaves.[2][3] The club's regular kitcolours are red shirts, white shorts and black socks. Their badge is based on the Manchester coat of arms and features a ship at sea and three stripes for the three rivers that flow through Manchester.

F.C. United are the largest fan-owned football club in the United Kingdom by number of members[4] and have one of the highest home attendances in English non-league football. The club is democratically run by its members who have equal voting rights and own one share in the club each.
 

Mkuu wacha upotoshaji, unafanya research au tunakurupuka tu?

embu soma hapa uelimike Al Ahly SC - Wikipedia

tatizo lenu wajanja wachache matapeli wa foodworld pale wamewashika na hamna vikombe karibia miaka mitano sijuhi sasa mpo so desperate, nawahakikishia vikombe hampati, na MO mtagombana naye na mwisho wa siku mtaenda kuanzisha timu yenu ya Simba Asilia.
Mark my worlds tupo hapa na tutaona!
nawapa miaka miwili au mitatu.
 


Soma na hiyo pia uone.

Wydad AC - Wikipedia
 
Povu hilo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utasubur mpaka uchoke[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu Sasa ulifikiri Mbumbumbu watajulia wapi mambo haya
 
We mbona cjaona waliposema inaendeshwa na wanachama?


Mkuu ni kujiongeza tu,
kwa mfumo huu ni obviously hii sio mali ya mtu ni mali ya wanachama.

Wydad 2014/2015 Committee
Name Post
Said Naciri President
Idriss Benhima Vice President / Disciplinary Commission
Jamal Rahmani Vice President
Othmane Chrif Alami Vice President
Maati Warit Deputy Secretary General
Salaheddine Chenguiti Legal Commission
Nouredine Benkiran General Treasurer
Abdelkader Kadiri Hassani Assistant Treasurer
Ramzi Berrada Organizing committee
Idris Slaoui Committee and Strategy and Development
Mohamed Gayate Infrastructure Commission, human and material resources
Salaheddine Aboulghali Commission Rules and Regulations
Karim Benchekroune Marketing and Communications Committee
Otmane Cherif Alami Commission for External Relations
Hafid El Akram Commission Technical Team
Karim Fath Finance Commission
Rachid Chrifi Alaoui Commission and media relations
Amina Lamrani Commission Fair Play
Fatima Aouam Women's Commission
 
Tp mazembe inaongozwa kwa hisa

Sina uwakika, ila inaonekana ni tajiri amabye amepewa cheo cha President/chairman ndio aanweka hela yake free tu kwa mapenzi yake na sio kuwa timu ni yake.

TP Mazembe aliikuta na ilikuw ana mafanikio makubwa sana kipindi hiko nyuma kabla hata yeye ajaja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…