Clubhouse ndio mkombozi wa mikutano Tanzania

Clubhouse ndio mkombozi wa mikutano Tanzania

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Teknolojia ni rahaa sana.

Nimeanza kufahamu hii clubhouse kupitia JamiiForums.

Asanteni JamiiForums [emoji106].

Mnaweza kufanya mikutano bila buguza yoyote wala poiliCCM kuingilia mkutano [emoji23].

Clubhouse ndio mkombozi wa mikutano yoyote na makundi yote.

IMG_0301.jpg
 
Back
Top Bottom