chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Sep 7, 2021 #1 Teknolojia ni rahaa sana. Nimeanza kufahamu hii clubhouse kupitia JamiiForums. Asanteni JamiiForums [emoji106]. Mnaweza kufanya mikutano bila buguza yoyote wala poiliCCM kuingilia mkutano [emoji23]. Clubhouse ndio mkombozi wa mikutano yoyote na makundi yote.
Teknolojia ni rahaa sana. Nimeanza kufahamu hii clubhouse kupitia JamiiForums. Asanteni JamiiForums [emoji106]. Mnaweza kufanya mikutano bila buguza yoyote wala poiliCCM kuingilia mkutano [emoji23]. Clubhouse ndio mkombozi wa mikutano yoyote na makundi yote.