Clubs with most players in 2018 world cup Russia

Hao wote wangeitwa??

Hufaham kama wote wamo kwenye kikosi cha Italy? Buffon, chiellini, Barzagli, De sciglio hawa wote ni stater kabisa. waliobakia ni sub. na Bernradeschi ni moja ya super sub yao wanayotegemea.
 
Hufaham kama wote wamo kwenye kikosi cha Italy? Buffon, chiellini, Barzagli, De sciglio hawa wote ni stater kabisa. waliobakia ni sub. na Bernradeschi ni moja ya super sub yao wanayotegemea.
Kwa hiyo kina verrati,Motta,bonucci,isigne na wengineo
 
Kwa hiyo kina verrati,Motta,bonucci,isigne na wengineo

Veratti anache kati pamoja na Jorginho, Insigne, Candreva, Imobille wanacheza mbele. Motta ameacha mpira mkuu. Nyuma kuna BBC pamoja na De sciglio na Darmian au Fiorenz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…