mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
mtoa mada engezea picha ya ramos
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wote wangeitwa??
Kwa hiyo kina verrati,Motta,bonucci,isigne na wengineoHufaham kama wote wamo kwenye kikosi cha Italy? Buffon, chiellini, Barzagli, De sciglio hawa wote ni stater kabisa. waliobakia ni sub. na Bernradeschi ni moja ya super sub yao wanayotegemea.
Kwan kafanya nn Ramosmtoa mada engezea picha ya ramos
hajafanya kitu ila nae ni mchezajin wa kuchungwa sana kama neymar, messi na ronaldoKwan kafanya nn Ramos
lanzin ameumia mazoezini itamchukua angalau wiki 6 ku recoverWataisoma tu..Dybala and lanzini tunao mkuu. Mungu ibariki Albiceleste
lanzin ameumia mazoezini itamchukua angalau wiki 6 ku recover
Kwa hiyo kina verrati,Motta,bonucci,isigne na wengineo
Nimeiona sasaiv report. Dah nimeumia sana mkuu
Dah imesikitisha sana. Dogo namkubali kinoma aisee
Huyo tunachunga na bakora ka ng'ombe..[emoji3]hajafanya kitu ila nae ni mchezajin wa kuchungwa sana kama neymar, messi na ronaldo
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Veratti anache kati pamoja na Jorginho, Insigne, Candreva, Imobille wanacheza mbele. Motta ameacha mpira mkuu. Nyuma kuna BBC pamoja na De sciglio na Darmian au Fiorenz.
Ila angasema Argentina inabeba ungekubaliana nae..?Kubeba kombe Hapana
Sawa mwenye warriors yake...Ila angasema Argentina inabeba ungekubaliana nae..?
Ahahaaaaaaaaah..!
Uchambuzi mwingine bhana..!
Namuona KING OF KINGS, CR7 hapo...
Waitaliano wengi wapo NapoliWaitaliano wamepungua juve