CMG kwa Promo Hakuna anaye waweza

CMG kwa Promo Hakuna anaye waweza

√Clouds especially clouds fm wanajua ni nini kinachotakiwa kufanyika na kwa muda gani

√East africa radio atleast kipindi cha nyuma ndo walikuwa wanaweza kuwachallange hawa jamaa ila hawa Efm ukiacha sports crew yao hakuna kipya..
Efm kipindi kinachonicjefua zaidi ni uhondo. Kila kijingle cha uhondooooo. Bado kuna swebe Sijui anaongeaga nini. Makelele mtindo mmoja ,,
 
Back
Top Bottom