CMOS/BIOS Password Removal

dasmwaka

Member
Joined
Apr 22, 2008
Posts
5
Reaction score
1
habari za muda huu wakuu? nauliza nitawezaje kutoa password katika bios/cmos
 
habari za muda huu wakuu? nauliza nitawezaje kutoa password katika bios/cmos

..hiyo pc ni yako?

..kama ni yako tafuta au weka resource cd yake. ndani ya hiyo cd kuna namna ya kuweka,kuondoa na kubadilisha password ya bios.

..kabla sijaenda mbali na wataalamu zaidi yangu hawajatoa majibu mazuri zaidi,hebu tupe kisa cha hiyo pc kwanza,ili tujue anga zipi tukusaidie!

..mods,

..nadhani hii inastahiki thread yake yenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…