D dasmwaka Member Joined Apr 22, 2008 Posts 5 Reaction score 1 Apr 28, 2008 #1 habari za muda huu wakuu? nauliza nitawezaje kutoa password katika bios/cmos
D DAR si LAMU JF-Expert Member Joined Mar 31, 2007 Posts 2,928 Reaction score 551 Apr 29, 2008 #2 dasmwaka said: habari za muda huu wakuu? nauliza nitawezaje kutoa password katika bios/cmos Click to expand... ..hiyo pc ni yako? ..kama ni yako tafuta au weka resource cd yake. ndani ya hiyo cd kuna namna ya kuweka,kuondoa na kubadilisha password ya bios. ..kabla sijaenda mbali na wataalamu zaidi yangu hawajatoa majibu mazuri zaidi,hebu tupe kisa cha hiyo pc kwanza,ili tujue anga zipi tukusaidie! ..mods, ..nadhani hii inastahiki thread yake yenyewe!
dasmwaka said: habari za muda huu wakuu? nauliza nitawezaje kutoa password katika bios/cmos Click to expand... ..hiyo pc ni yako? ..kama ni yako tafuta au weka resource cd yake. ndani ya hiyo cd kuna namna ya kuweka,kuondoa na kubadilisha password ya bios. ..kabla sijaenda mbali na wataalamu zaidi yangu hawajatoa majibu mazuri zaidi,hebu tupe kisa cha hiyo pc kwanza,ili tujue anga zipi tukusaidie! ..mods, ..nadhani hii inastahiki thread yake yenyewe!