CNN: 73% ya Wamarekani wanataka Biden asigombee 2024, hawaelewi nchi inakoelekea chini ya Biden

CNN: 73% ya Wamarekani wanataka Biden asigombee 2024, hawaelewi nchi inakoelekea chini ya Biden

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Takwimu za kila siku zinaonyesha kua idadi kubwa ya Wamarekani hawamuelewi Biden na hawaelewi nchi inakoekea.

Ndani ya mwaka mmoja umaarufu wa Biden umekua ukishuka kwa kasi ya ajabu. Hii ni kutokana na kwamba wamarekani hawaelewi Biden anachokifanya Ikulu.

Nashindwa kuelewa huyu mzee alishindaje ule uchaguzi?

 
Huyu Biden anafanya biashara na ukraine. Trump alitaka taarifa zitolewe na ukraine lakini ukraine wakakataa kutos taarifa za mtoto wa Biden anaitwa Hunter. Hiyo ni mojawapo ya sababu za hiyo vita.
 
Naona hata Trump watamkataa akipitishwa kugombea! Hawana imani na wazee tena.

Vikwazo kwa Russia vimefanya maisha kupanda Marekani na raia hawaoni anafanya nini zaidi ya kushughulika na vita vya Ukraine.
 
Back
Top Bottom