Una nyuzi nyingi takataka humu JF. Wiki nne zitapita kama nitakuwepo nitarudi kukukumbusha huu upumbavu wako. Yaani Tanzania inayoimport mafuta makampuni ya nje na nchi za nje isiishiwe mafuta alafu Marekani ambayo inazalisha zaidi ya 80% ya matumizi yake na importation inaagiza kwa makampuni yake iishiwe iwe na crisis?
Hiyo link uliyoweka hapa nami naweza kukuletea link hapa inayosema kinyume chake. Huna reasoning, hata mtu akikwambia wewe ulikuwa mbuzi ukafa then ukazaliwa mwanadamu akishakupa link tu tiyari unaamini
Naomba nikueleweshe kwanba hii haitakuwa bahati mbaya,but by design.Kama ungefuatilia kikao cha WEF (World Economic Forum) Davos ambacho hata viongozi wetu wa juu kitaifa walihudhuria, ungeliona hili wazi.Waliambiwa wazi kwamba kutakuwa na disruption ya supply chains,including fuel and other commodities,na shida nyingine nyingi kwa wananchi, ila wasijaribu kusaidia kwa kuwa hayo ni part and parcel of the Great Reset as we move towards the NWO!Simply wamesema tuvumilie.
Biden majuzi tu katoa the same rhetoric.Yeye kasema tuisaidie NWO kufanikiwa bila aibu.Sasa unabishana na wahusika wakuu wa kuleta hiyo shortage!Funny.Si swala la kupewa link,na nani anipe link kwanza?
Waliobishana na mimi wamekiri kwamba they were wrong humu humu JF,na wakaomba msamaha na kunishukuru kwa taarifa.Na wewe utakuja kuomba msamaha I am sure na kunishukuru kama wengine.
Kwanza ungekuwa msomaji msuri ungejua kwamba tayari supply chain disruptions zinaendelea everywhere duniani,na Marekani shortage ya diesel fuel ipo na quees za fuel zipo nndefu sana.Juzi tu nimesoma kwamba they have fuel for only 27 days!
Ndugu nimekupa link inayo monitor fuel supply in the US bado huamini,who are you kubishana na monitors ambao wapo US? Na link sio hiyo tu niliyokupa,link zinazo zungumzia swala hilo ni nyingi,sasa wote ni waongo,wewe ndiye mkweli?
Kwanza unatumia fantasies zako ulizo nazo about America,umedanganywa kwamba America is great,kwa hiyo you believe such a thing can't happen to America,I repeat it is by design!Come to ground zero kijana,the World is not what you have been made to believe.NWO wako kwenye process wanayo ita "Great Reset," they are resetting the World.The War in Ukraine,Covid and other plagues and everything which goes along with them including the so called Vaccines,disruption of supply chains,inflation,Climate Change etc. etc.are all part of the Great Resert.
Mimi sisemi kitu bila evidence,link nyingine hii hapa👇
www.cnbc.com
Soma pia hii 👇itakupa an overview of the fuel crisis worldwide
The global energy crisis is the concern that the world’s demands on the limited natural resources that are used to power industrial society are diminishing as the demand rises.
www.conserve-energy-future.com
Nikupe challenge,taarifa hizi zinapatikana all over the internet fanya utafiti wako binafsi.Usitegemee hearsay au Mainstream Media kwa taarifa,hawatakupa taarifa kama hizi.Soma,soma,soma kijana,usipojisomea utalishwa matango mwitu.