The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Angeshasema, Ukrainians should fight their own battle. If they need weapons, we will supply them at a discount. Pure business hakuna msaadaUSA walihitaji Rais kama trump, jamaa alikua mfanyabiashara, mambo ya vita na upumbavu mwingine alikua hana,
Mtoa mada achana na Biden na marekani yakeAngeshasema, Ukrainians should fight their own battle.
Like jiwe voice,,,hahahaaaaAngeshasema, Ukrainians should fight their own battle.
Trump angefanya nini?Putin asinge anzisha Vita kama Trump angekuwa madarakani,
Anajua ukichaa wa Trump - atakavyo mfanyia
Angefanya alichofanya Magufuli kipindi cha coranaTrump angefanya nini?
Hebu tujuze
Wangemwacha Mzee Trumpet mambo yao yangekuwa yamenyooka hivi Sasa[emoji125]